Baada ya watu kuongea mengi kuhusu awa member kutoka yamoto band.
Aslay ameonyesha hakuna lolote baya linaloendelea kati yao.
Haya sasa vijana tupambane tujenge nchi awajakubali kugombanishwa...
USIKOSE: Saa 10:00 jioni ya leo (Aprili 5, 2018), Mkali wa Bongo Movie, ambaye ndiye aliyeibuka Muigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF), Wema Sepetu atakutana na...
Wakuu habarini za mchana!!!!!!
Nisipoteze muda aisee na imani wengi wao tuko vyema.
Ni miezi 10 sasa imepita bila ya kusikia ngoma mpya kutoka kwa Darassa huku ngoma yake ya mwisho ikiwa ni...
Nabii Olivia wa Kanisa la Repohim Church akimpanga muumini apige kelele akiashiria mapepo yanamtoka.
SOUDYBROWN: Mambo ni hiviii
Jamani Mtumishi Wa Mungu Askika Akimpanga Muumini apige kelele...
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2000 na kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, Jacqueline Ntuyabaliwe, mwaka 2015 alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara mkubwa na maarufu...
Wanajamvi
Salaam;
Sijawahi kupost ktk hili jukwaa,lkn nimelazimika kufanya hivi leo kutokana na huu unafiki unaoendelea kuonyeshwa na watanzania.
Kilichonichukiza ni hiki kitendo cha kumsifia...
Mrembo aitwae Suzan Labia amefunguka wazi mapenzi alionayo kwa millard ayo na kuonesha hisia kali sana kwamba anampenda sana Millard. Suzan ambae bado ana usichana wake ni binti wa miaka 20 tuu na...
Serikali imemkabidhi Bendera ya Taifa muigizaji wa filamu, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa anayetarajia kwenda nchini Ghana kuwania tuzo ya #TheAfricanPrestigiousAwards kipengele cha Msanii...
ninapokuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa instagram, mara kadhaa huwa nakutana na picha au video fupi za comedian captain khalid anayefanya stand-up comedy katika majukwaa mbalimbali ya...
Msanii wa bongo movie Riyama Ally uliyechaguliwa kushiriki Tuzo za Sinema zetu pale Mlimani city na hukwenda lakini umemjibu vibaya mmoja wa wapenzi wa sinema kuwa tuzo hizo ni kama ulihongwa tu...
Oi yeah.
Kama heading inavyojieleza huu ni Uzi special kwa mashabiki wa MC bora kutoka bongo Nikki mbishi
King of freestyle East Africa
Ambae anatambulika kwa umahili wake anapokuwa ameshika...
Mlezi wa hiyari wa msanii Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha binti yake kuonekana katika viunga vya Kampala Uganda akila bata wakati wa Pasaka.
Dr. Cheni amewataka waandishi kumtembelea Lulu...
Msanii wa Bongo fleva anayefanya miondoko ya kurap Harmorapa ameibuka na kuiponda Albamu ya Diamond na kudai ni mbaya kama ilivyo sura yake.
Harmorapa alijipatia umaarufu kwa kupenda kiki katika...
HII NIMEITOA SEHEMU HUKO INASEMA IMEANDIKWA KUTOKA USA:
African music Star,Diamond Platnumz,from Tanzania has come into headlines throughout the world as he Successful switched on his TV Station...
Kwa kizazi hiki ukubali ukatae, Diamond ndio anazungumziwa zaidi kuliko msanii yoyote hapa Tanzania kuanzia mitaani hadi mitandaoni
Imekuwa kawaida sana Diamond kushikilia trending tano za juu...
Kwa style hii ya Bongo movie kupigana vijembe na kuonyeshana chuki hadharani kweli mtafika?
Juzi baada ya usiku wa tuzo kuisha na wasanii Wema na Gabo kuchukua tuzo wengi wameonyesha...