Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

JKL: Inspirational Thursday; Sal Davis worked with VOK(KBC) and BBC, 13/10/2016 Part 3 Meeting Sultan Qaboos of Oman, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum of UAE Dubai...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mchekeshaji maharufu aitwaye mpoki azua baraa kwa video aliopost kwenye account yake akiwa kitandani na mdoli.
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama umeshawahi kuwatazama wawili hawa kwa ukaribu utajua nini nasema, wamefanana mno kuanzia Dimpoz mpaka ufupi, Naomba kujua kwa wanaofahamu kama wawili hawa wana undugu wowote... Na je nani...
1 Reactions
10 Replies
46K Views
ERICK SHIGONGO afunguka baada ya chilambo kuachia wimbo wake wa only you Chilambo ni MWIMBAJI wa gospel asie na mbwembwe nyingi Hebu sikiliza mwenyew
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Rommy Jones amuahidi Wema Sepetu kwamba na yeye ataenda kusuka nywele mtindo wa twende kilioni ili afanane na Wema Sepetu. Uamuzi huo wa Rommy Jones umekuja mara baada ya Wema kupost picha akiwa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Unajua akina Joti wameumiza watu na kuwaathiri kisaikolojia kwa kile kipindi chao infamous KUFULIA. Walizidi sana hadi walipigwa stopu. Lunyamila hana ugomvi na mtu wakamuigiza kafulia. Eti Vengu...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Frankly speaking bila unafiki wala kumuonea nimeuskiliza wimbo mpya wa Dimpoz,audio mara 5 na kuangalia video mara 5,sikuamini kama yule ndo Ommy Dimpoz wa Ngagushima,Me n You etc dooh wimbo...
7 Reactions
105 Replies
19K Views
Mambo yanazidi kutokota kila kukicha. Mara baada ya doto wa diamond platnums (Harmonize/Kondeboy) kusikia demu wake anagawa utamu kwa bodyguard wa diamond platnums, Harmonize amemdhalilisha...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Baada ya miezi saba tangu aachie ngoma yake ya Cheche,hatimae wimbo huo umefikisha views Milioni moja jana. Hongera nyingi kwa msanii Omary Nyembo...sasa ni kazi moja tu kwenye ngoma yake mpya...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada Ya Davido kumzawadua Mpenzi wake Chioma gari wabongo walimsema sana kuwa Mond hajawahi mnunulia hata Rav 4.Hatimaye Bibie kajibu mapigo. Hongera kwake Hard work pay. She's one in a Million.
9 Reactions
124 Replies
14K Views
Alikiba mimi kama shabiki yako naomba usimamie msimamo wako uleule usikubali kuyumbishwa na mtu mnafki kama Diamond, ambaye amekuwa akikupiga vijembe mara kwa mara huku akiigiza kuwa anataka...
10 Reactions
61 Replies
10K Views
Tuambieni, je hawA wawili nani mkali
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Huwa ninaona mara kwa mara wadau mbalimbali wa muziki wakimshauri mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz aimbe wimbo wa pamoja na Ali Kiba. Kiukweli hili wazo huwa ninalipinga kwa nguvu zote...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hawa wasanii Wa bongo wanashida gani? Je; Wanatanguliza maisha ya anasa au ni nini? Umaarufu wao unafaida gani kama pesa ya kujitibia tu hawana? Kuna watu wanaleta hoja dhaifu kwamba makampuni...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Msanii wa Hip Hop wa Marekani na mmiliki wa label ya Dreamville J. Cole ameonyesha love kwa nchi ya Tanzania kwny moja ya mistari yke kwny wimbo uitwao Bablo Boat alioshirikishwa na msanii Royce...
5 Reactions
11 Replies
8K Views
Mama wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema katika maisha yake alikuwa anamuombea mtoto wake huyo aolewe na mzungu. Akizungumza na MCL Digital, Shufaa amesema sababu ya kutaka...
2 Reactions
115 Replies
13K Views
"Free Mason" (feat. Jay-Z, John Legend) This is for the soldiers the see the sun At midnight, ya dig Let me slow down (it's so incredible) [Rick Ross Verse] I go to the grave before I be...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Sherehe ya pili ya kuhitimisha harusi ya msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba imefanyika jana jijini Dar es Salaam, huku ikiwakutanisha watu maarufu katika nchi za Afrika Mashariki...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Msanii mkongwe nchini maarufu kwa jina la Snura Mushi au Snura Majanga amenaswa live akiwa kwa sangoma ( mganga wa jadi ) akisafisha nyota yake kwa lengo la...
1 Reactions
37 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…