Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

MREMBO wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kuwa, katika maisha ya uhusiano, anafurahia kuwa na mwanaume ambaye atampa kipigo kidogo pale anapokosea. Mwanadada huyo...
7 Reactions
150 Replies
14K Views
Wnajamvi mada hapo juu yakukumbusha kama sio mdogo sana kiumri. ITV na Radio One walikuwa na WATANGAZAJI hapo juu. Sijui wapo wapi hivi sasa na wanafanya mini? Mwenye kujua tushirikishane...
2 Reactions
77 Replies
16K Views
Kazi kweli mjini hapa zimevuja voice notes za Hamisa akiongea na mganga amroge Diamond na wazazi wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kwa akili yangu fupi sauti sio kabisaa ya...
20 Reactions
537 Replies
60K Views
Habari wakuu, Mi mgeni humu naomba nizungumze kitu..... First naomba niweke wazi kuwa huyu jamaa hajawahi kunichekesha hata siku moja. Nilitabasamu kiduuuuuchu ile clip ya remy ongala...
1 Reactions
93 Replies
13K Views
Kwanza sijajua hili kundi lipo au limekufa na kama limekufa ni sababu gani zimeliuwa kundi hili lililojizolea umaarufu mkubwa nchini tanzania Kingine ni maisha ya wale comedian wengine wako wapi...
22 Reactions
277 Replies
77K Views
Aslay amefanya vizuri mwaka huu ndio maana ukisikiliza muziki wake mzuri kwenye YouTube utanielewa. Aslay yupo na sauti nzuri ya kuimba kama ya king kiba. Ukilinganisha na wasanii wafutao Jux...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Huyu mtu muhimu sana kwenye siasa za ukombozi wa nchi hii leo anatimiza miaka kadhaa tangu azaliwe , kiukweli nitakuwa mchoyo wa fadhila nikishindwa kumpongeza shujaa huyu wa Taifa , ambaye...
15 Reactions
55 Replies
5K Views
Huyu jamaa anaitwa Madebe Lidai au ukipenda muite nabii mswahili. Jamaa amejizolea umaarufu kwa aina ya uigizaji wake kwa kutumia vijimisemo vyake vya kiswahili swahili na ameigiza filamu nyingi...
4 Reactions
103 Replies
25K Views
Tulitegemea mabadiliko makubwa but mambo ni yale yale Hapa chini ni gari lilitolewa na Diamond karanga
4 Reactions
261 Replies
41K Views
Katika maisha kuna hatua nyingi sana sisi binadamu tunapitia na kila mmoja ana namna au mbinu yake katika kuyafikia mafanikio. Kwa mukhutadha huo nakwenda moja kwa moja kwenye mada hasa hii fani...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Asley kaimba - Angekuona, Likizo, Mhudumu,Baby, Nibebe,Natamba, Pusha, nyaku nyaku. Totoa, Harmonize - Aiyola, Bado, Niambie, Sina, Kwangwaru, Atarudi, DM chick, Happy birthday, Matatizo Hawa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
He is boy from KIGOMA . Kwasasa anafanya vzr nakibao kinachojulikana kwa jina mboni yangu
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna kijana maarufu sana enzi hizo aliwika miaka ya 90, kama sikosei alikuwa anajishughulisha na udhamini wa mpira wa miguu na pia alikuwa na timu yake, baadae alitimkia nchi za ulaya. Naomba...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Wakuu, heshima kwenu! Katika pitapita yangu kwenye mitandao ya kijamii, nimekutana na huyu mrembo, jina lake anaitwa Precious Mary akiwa amefanya cover ya wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi...
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Huyu jamaa nimemkumbuka na kile kibao chake cha VITUKO uswahili, "Uswahilini ukioga mchana utaulizwa, unakwenda wapi" "Uswahilini mtu ananawa miguu wakati miguuni hajavaa kandambili,akimaliza tu...
0 Reactions
177 Replies
24K Views
Msanii wa kizazi kipya aliyekuwa kundi la Wakali Kwanza, Q Jay kwa sasa amekuwa kama chokoraa kwani amekuwa anaokota makopo na kuongea vitu visivyoeleweka Chanzo cha matatizo yote ni kutokana na...
4 Reactions
82 Replies
15K Views
Leo nimeangalia wimbo wa Diamond uitwao Baila...nikamwangalia video queen wake, nikagundua ndio yule wa kwenye wimbo wa If ya Davido. Dada huyu ametusua careerwise maana hao ni wasanii wakubwa...
5 Reactions
64 Replies
11K Views
Habari Nimekuwa nikifuatilia sana Churchill Show ya Kenya ambayo kiukweli huwa napunguza sana stress hasa akisimama Professor Hamo. Sasa nipo Dar hapa najiuliza ni wapi kumbi za Comedy ambazo ni...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalaam.. Pamoja na kupatikana mshindi ambaye kwangu naona amestahili lakini shindano hili bado lina mambo yale yale yanayo tia shaka au unaweza kuyaita maajabu... Moja ya maajabu kwenye hili...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Kwanza nianze kwa Kuupongea Uongozi wa EATV kwa kuja na Kipindi kama hiki ambacho ni kizuri sana na pia nichukue nafasi hii kuwapongeza sana Watangazi wake kuanzia kwa Program Brand Manager wake...
5 Reactions
25 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…