Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sakata la P-Square limechukua sura mpya baada ya Peter Okoye, maarufu kama Mr P, kuamua kufunguka hadharani kuhusu kile anachodai kuwa ndicho kilichosababisha kuvunjika kwa moja ya duo kubwa zaidi...
9 Reactions
31 Replies
662 Views
Mshangazi wa taifa Janepher Sanga mwenye views na followers zaidi ya million 8 kwenye mitandao ya kijamii, katoa onyo kwa ukali kwa madalali wa wanawake ambao wana posti namba zake kwenye page zao...
16 Reactions
136 Replies
4K Views
Mfanyabiashara na mjasiriamali wa teknolojia kutoka Tanzania, Isaya Yunge, amefunga ndoa ya kimila na Charlene Ruto, binti wa Rais wa Kenya William Ruto. Sherehe hiyo ilifanyika Kilgoris, Kaunti...
0 Reactions
3 Replies
240 Views
FAMILIA YA MUZIKI TUUNGANE : MSANII G . POP WA CREW YA PLANET 2000 ANAHITAJI MSAADA WETU Habari za wakati huu Ndugu, jamaa na Marafiki pia kwa heshima na taadhima kwa niaba ya Familia ya Ndugu...
5 Reactions
14 Replies
252 Views
Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90...
16 Reactions
76 Replies
2K Views
Watu wameshindana kutoa pesa kwenye baby shower ya mtoto tarajiwa wa Zuchu pia wameshindana kutoa pesa baada ya kujifungua. Sasa hapa kuna watu kulingana na status walizonazo ni ngumu kwa Zuchu...
23 Reactions
107 Replies
2K Views
MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA VERSE. 1 Bongo Fleva kama fani ni treni basi Mimi ni dreva/ Na nitabaki hivi forever/ Najua nifanye nini ili nibaki kuwa super/ Nilishasema mimi ni zaidi ya...
1 Reactions
3 Replies
97 Views
Nyuma ya mafanikio makubwa ya Lil Wayne kwenye Hip Hop, kuna upande wa maisha yake ambao watu wengi hawaujui; upande wa kutafakari, kukubali makosa na kujitafuta mwenyewe. Huu ndio ujumbe...
2 Reactions
3 Replies
198 Views
Kwa upande wa Hip Hop, imekuwa ni kawaida sana kukuta msanii ana zaidi ya miaka 20 kwenye game, lakini ukichunguza vizuri utakuta ngoma iliyompa heshima ndiyo ileile iliyomtoa kwenye game. Baada...
2 Reactions
13 Replies
314 Views
1. Zali la mentali – Profesa Jay ft Juma Nature 2. Starehe – Ferouz ft Profesa Jay 3. Latifa – MB Dogg 4. Bongo Dar es Salaam – Profesa Jay ft. Lady Jaydee 5. Darubini kali – Afande Sele ft Ditto...
15 Reactions
68 Replies
20K Views
Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam. Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge...
11 Reactions
698 Replies
156K Views
TMK MAJITA - FIRST BORN LB GENIUS "TUNADATISHA" Unachonizidi ni promo/ Usijiite mkali zaidi yangu/ Ujiulize, ingekuwa vipi meneja wako angekuwa wangu?/ Umahiri wa mashairi ndio kisa unajenga...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Muonekano wa hivi karibuni wa rapa mkongwe wa Marekani Lil’ Kim umezua mjadala mkubwa mitandaoni, huku baadhi ya mashabiki wakionyesha wasiwasi na wengine wakikosoa tabia ya wanawake kukataa miili...
1 Reactions
4 Replies
336 Views
PROFESSOR JAY - SAUTI YA GHETTO PRODUCER : Q THE DONE STUDIO : MO RECORDS Intro: Aaah Eeeh bwana eeh..!! Unapima kisha Unakimbia majibu Wewe..!!! Chorus: Ni Sauti ya Gheto Kwa Watu Wangu wa...
5 Reactions
8 Replies
150 Views
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha...
24 Reactions
177 Replies
20K Views
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028. Diddy...
2 Reactions
21 Replies
498 Views
SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
FANANI AFUNGUKA WAZI, JINSI HARD BLASTERS CREW (H.B.C) ILIVYOMJENGA PROFESSOR JAY, "1990s".. "HARD BLASTERS ndio kundi lililombeba na kumsaidia Prof. Jay, siyo Prof. Jay kuisaidia Hard...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL YA 2022 : UKURASA UNAOSAHAULIWA KATIKA MJADALA WA BONGO FLEVA HONOURS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA Kadiri mijadala kuhusu Bongo Fleva Honours na maadhimisho ya Miaka...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Nimeona mwanaharakati Cherry Hollister amechapisha ujumbe mzito unaomlenga Dotto Magari, ambapo ametoa madai mbalimbali dhidi yake. Miongoni mwa madai hayo, ni kuwa Dotto anaishi na virusi vya...
21 Reactions
326 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…