Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Michelle Rodriguez mwigizaji wa Amerika, nyota wa mfululizo wa Tamthiliya Waliopotea, Haraka na hasira,Uovu wa Makazi, Avatar. Wasifu Alizaliwa mnamo Julai 12, 1978 huko Texas katika mji wa San...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
HONGERA HARMONIZE KWA TUZO.!!!
6 Reactions
41 Replies
7K Views
Muda mwingine unaweza ukashangaa kwa nini nimeumbwa hivi,kumbe kuna makusudi ya dhati kabisa usiyoyajua ili kukupungizia spidi ya aidha ya roho nzuri au mbaya uliyonayo dhidi ya mwanadamu mwenzako.
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Imeisha iyo dingiii. Uzi tayari. @ChaliiYaKijengeJuu.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimeona video irene kapost insta akipokea baraka kutoka kwa wakwe zake, video inagusa sana, amejishusha mwenyewe na kujinyenyekesha kama mtu vile, ila bongo movie kwa kuigiza tu hamjambo, mxiew...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Msanii wa mikato ya bongo fleva juma-jux,kupitia account yake ya mtandao wa kijamii uitwao instagram ameweka picha inayoonesha mjengo wake mpya... Swali langu; kumbe siku hizi mziki wa bongo...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Mwanamitindo huyo maarufu kutoka uingereza aitwae Naomi ameibua hisia kubwa kwa mashabiki wa Tanzania baada kupost akisikiliza wimbo wa mkali kutoka tz diamond uitwao inama issue aikuwa hii issue...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwako Kilewo wangu, Kwanza kabisa nakushukuru sana kwa uwepo wako katika Maisha yangu, UPENDO wako wa awali ulinifanya nione hakuna kama wewe hapa duniani. Ulinipenda, ulinidekeza, ulinijali...
8 Reactions
462 Replies
48K Views
hiv huyu kijana anashindwaje kun'gaa wakati ana anatoaga ngoma kali na zenyeh unique ambapo uwezi ukapata kwa msanii yoyote kiukwel kabisa sijaona Tanzania msanii mwenye kufika hata robo ya uwezo...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Jux anajua kubembeleza na kuomba msamaa mpaka mtoto kanyanyua mikono juu
0 Reactions
59 Replies
11K Views
Vanessa Mdee athibitisha rasmi kumbwaga Jux mazima. Chanzo: Clouds tv
4 Reactions
84 Replies
16K Views
Kumekuwepo na sintofahamu za hivi karibuni ya kwamba Mama Wawili si mtanzania Kuna mdau yeyote anayejua ukweli wa sakata hili?
2 Reactions
145 Replies
94K Views
Wasanii wetu muige kutoka kwa wenzetu
2 Reactions
42 Replies
8K Views
The only thing I know for sure , If Zari was cheap and local , Diamond wouldn’t dare to buy a mansion in Pretoria for her, the way diamond ako stingy , imagine? Wanawake wote aliowalala achilia...
7 Reactions
118 Replies
13K Views
Hiphop junkies...you know the name. Mwaka 97, Pras(Fugees. Remember them?) yuko Enterprise Studios(?) California anarekodi Ghetto Supastar. Outta no-where, ODB anazama Studio akidhani yupo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hakutakiiiii hakutakiiii bado wamng'ang'ania lako hilo mwenyewe utajijuaaaaaa ×2 utajijua mkondobwee utajijuaaaa kiko katika clip anaimba nargis.mohamed instagram.nimeseaech you tub sijpata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mwimbaji Aubrey O'Day(35) amesema ndoto yake ni Barack Obama(57) aje kumchangia mbegu zake za kiume(sperm donor) ili apate mtoto, huku akimsifia Obama kuwa ni handsome, anayejielewa, mkarimu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
➡ Ukikaa na kufikilia kwa mbali unaweza usipate jibu la moja kwa moja ila maisha lazima yaendelee. Mwanamuziki wa nyimbo za kuruka ruka a.k.a rege Luck Dube alifariki kwa kupigwa risasi na jamaa...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu habari za mda Leo nimeona niwasogezee top 30 list ya wasanii wa muziki wenye record ya mauzo makubwa dunian The beatles-united kingdom-usd 600million Elvis Presley_united state_USD...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…