Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa...
Wakuu Habari. Hope mu wazima.
Wakuu naona habari zinazo-trend Social Media ni kuhusu Wasafi Festival tu. Hasa ujio wa Wizkid, Innosb, Tiwa Savage nk
Upande wa pili Cloud's na EFM kumepoa sana na...
Damini Ebunoluwa Ogulu maarufu kama 'Burna Boy' wengi wamemjua hivi karibuni lakini jamaa anatisha tokea mda kidogo, 2012 aliaachia single yake ya Like to Party kutoka katika album yake ya...
Mtandao wa Instagram umeendelea kujizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Hapa kwetu, social network hii nayo si haba. Tumeshuhudia watu maarufu na hata watanzania wa kawaida kabisa wakitumia...
Ila nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , Wema is Beautiful, Wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye...
Habari zenu ndugu zangu
Napenda kujua historia ya huyu producer mkongwe hapa nchini nimeangalia interview zake mbalimbali nimevutiwa na uwezo wake wa kuelezea vitu pia huyu jamaa ana content Sana...
Aman iwe nanyi
Katika kitu ambacho wasanii wanabug step ni kumshilikisha Diamond kwenye ngoma zao jamaa huwa anawafunika sana hadi wanaonekana kuwa wao ndo wameshilikishwa
Kwa mfano leo Jux...
Nakumbuka alimtandika ngumi chid benzi pale maisha club, alimpiga bou nako mpaka akalazwa aga khan, Alikuwa ana gym lake block 41 ukitaka kuingi gym lazima upige push up 1000,aliwahi kumnyoa...
Msanii wa vichekesho, Kingwendu amesema alikurupuka kugombea ubunge na kubakiwa na madeni mengi hali iliyomsababishia kukaa kimya ili kushughulikia madeni hayo, alitakiwa awe na mdhamini.
Pia...
Kama mnakumbuka vizuri Diamond alikutana na Marlaw wakati Marlaw alienda kwenye Tamasha la Wasafi lilofanyika Tabora na kumuomba awe sehemu ya tamasha but hakumpa nafasi lakini kumbe lengo lake...
Looks like Rotimi, aka Nigerian butterscotch, has been taken off the market and his new bae is an East African super star!
Rotimi is currently boo’d up with Tanzanian singer/songwriter Vanessa...
Zamani ndio ulikua music kwelikweli hasa bongofleva.ombi toeni ngoma kama zamani.mpo wengi lakini mpaka sasa nasikiliza ngoma za juma nature a.k.a kibla(kiroboto),prof Jay,Juma mchopanga a.k.a Jay...
Kama ni mfatiliaji mzuri wa channel ya Wasafi TV utakubaliana na mimi kuwa siku mbili hizi Wasafi TV wamekua wakipiga mfululizo nyimbo za mkali huyu wa Bara la Africa Ayodeji Ibrahim maarufu kama...
Wanazengo, leo nimepita Mikocheni kwa Aunty Ezekiel nikaona wamefunga bar yake na wamebandika na bango kabisa “Bar imefungwa kuanzia tarehe 30/10”.
Sasa mmbea mie nikajiuliza ni mtaji umekata...
Huku ikisemekana kuwa msanii huyo wa bongo fleva hana hali nzuri kisaikolojia,kufuatia taarifa za kuwa amemwagwa rasmi na mke wake Irene uwoya,janjaro Leo ameonekana katika picha ya pamoja na Dr...
Ila wanazengo kwa tunaomjua muna alikotoa mwenzangu bibie kapiga hatua bwana, muna siku hizi Ana damshi, muna huyu sio muna Yule wa zaman Mbeba mapochi ya Wema sepetu, yani life lake limebadilika...
Hello wanajamii
Nahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa. Yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofisi yake ilipo au the...