Zamani ndio ulikua music kwelikweli hasa bongofleva.ombi toeni ngoma kama zamani.mpo wengi lakini mpaka sasa nasikiliza ngoma za juma nature a.k.a kibla(kiroboto),prof Jay,Juma mchopanga a.k.a Jay Moe,Rashid Makwilo a.k.a Chidi Benzi(huyu mnyama hatari mno pengo lake halizibiki), MB doggy,dazbaba,Albert Mangwea(apumzike kwa amani) na wengine kibao