Hii kauli huwa naitafakari sana, hivi Hamisa akili zake sijui zipo sawa kichwani yaani anapenda kumpa Diamond power kwenye maisha yake utadhani yeye Ndio Mungu wake.
Mtu hajawahi kuwa your...
Linah apokea kichambo kwa picha hizi
Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa.
Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau...
Baada ya kutoka video ya “Natafuta Kiki” pamekuwa na zengwe, kwa kile kilichoonekana kuwa ni mahaba juu ya Snura na Rayvanny kwa lile denda zito lililopigwa kitandani.
Akipiga stori na eNewz...
Video mpya ya kundi la muziki kutoka Kenya Sauti Sol ft Patoranking 'Melanin', imefungiwa na serikali ya nchi hiyo chini ya bodi ya filamu Kenya (Kenya Film Classification Board KFCB)
Mkurugenzi...
Kifo cha msanii kanumba kimegubikwa na utata mkubwa.
Riport ya postmoterm (iliyosomwa na daktari kwenye hearing ya kesi ya Jamuhuri v/s Lulu) haioneshi kama Kanumba alikutwa na aina yeyote ya...
Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael, (Lulu) imeendelea leo katika mahakama kuu jijini Dar es salaam, ambapo upande wa utetezi umeshindwa kuendelea...
Mel B na Eddie Murphy walibahatika kupata mtoto wa kike Angel mwenye umri wa miaka 10 sasa. Miaka tisa iliyopita walifikia makubaliano Eddie awe anampa Mel B £21,000 kwa mwezi kwa malezi ya mtoto...
Kautafiti kadogo nilikofanya chinichini kanaonyesha kuwa watu wengi maarufu hapa nchini ni "pipiro" aka andunje... yaani ni wafupi wa kimo.
Ukianzia kwa wasanii wetu wa muziki, bongofleva...
Huyu mwanamke sijui ni stress ama ni nini...
Katika hali inaonesha kupanick au kutojiamini na anachokifanya, amekuwa akijibu tena kwa kejeli kila comment ya mtu anayemcriticise, hii ni baada ya...
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness
Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss
Tanzania Mwaka 2001.Happiness Magese (35),
alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo
nchini Afrika Kusini...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia Eat Africa radio na Tv, wamekuwa ni walimu kwa watangazaji wanaotoka pale yaani watangazaji wanatoka wamekwiva ki maadili hadi utendaji.
Lakini ni kama swali...
MFAHAMU KWA UFUPI DONNIE YEN
"wale wa season mtupishe kidogo"
Donnie yen mcheza sinema maarufu katika tasnia hii ya filamu Duniani.
Mcheza sinema huyu ambae amezaliwa 27/7/1963 jimbo la...
Nashangaa sana,tena nashangaaa sana,kila shughuli ya serikali huyu mzee ndio anakuwa Mc,hivi mikoani hakuna watu wa kufanya hizi kazi mpaka awe anasafirishwa na serikali?
Au ameajiliwa na...
Wakuu
Wasanii wa Nigeria ni watu wenye akili sana ukitaka kujua hilo angalia muziki wao unavotamba dunia nzima.
Angalia nyimbo zao hata hapa Tanzania zinavopendwa hata club zinachezeka tofauti...
Habari zenu wakuu wa humu jamiiforums
Picha hapo chini ni mwana mama Zamaradi Mketema (Kushoto) pamoja na Sonia binti wa Monalissa Cherrie (Kulia).
NB: Mimi Infantry Soldier sio msomaji sana...
Naona jamaa hataki utani amemuwashia kweli moto mwanamuziki wa hiphop kutoka Nigeria Blackbone. Na ninachoona mpaka sasa mchezo keshautawala yeye
#Respect OGs, wanigeria lazima waelewe tu...
Umofia Kwenu wana JF,
Imeniladhimu nimuandikie waraka mfupi ndugu yetu Tonny Aka Tbway360 ili watu walio karibu nae au yeye akipitia humu JF aweze kuusoma.Nimeshawahi kukutana na Huyu jamaa mara...
Elton John na Renate Blauel walifunga ndoa mwaka 1988 iliyodumu kwa miaka minne. Wakati wana achana walikubaliana kuwa kila mmoja hataongelea tena ndoa yao hiyo na walifunga mjadala.
Mwaka 2019...