Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

  • Closed
Hilo ameliweka wazi akiwa katika kituo kimoja cha TV.
1 Reactions
109 Replies
29K Views
Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa; Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii...
8 Reactions
187 Replies
36K Views
Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto...
4 Reactions
111 Replies
12K Views
Kwa wadau wote wa FAJI na waliokuwa wapenzi wa Gazeti la JITAMBUE. Mke wa Hayati Munga Tehenan na wana FAJI, watafanya kumbukumbu ya kifo cha MUNGA TEHENAN. Shughuli hiyo itafanyika katika msikiti...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
WANAWAKE wengi wanapenda kuonekana warembo, wenye sura nzuri, maumbo yaliyogawanyika vizuri kiunoni, vifua vizuri na makalio. Kwa bahati mbaya, katika uumbaji wa Mungu huwezi kumpangia namna...
1 Reactions
81 Replies
26K Views
Naona Team nzima ya WCB imeamua kuja kufanya kitu cha tofauti hapa nchini katika Soko la Mziki! Nikipimia wingi wa mashabiki walio nao na wanavyokubarika naona hii inakuja kuwa zaidi ya...
7 Reactions
55 Replies
11K Views
Umati wa mashabiki wajitokeza kutoa heshima kwa nyota wa hip-hop nchini Marekani DMX ambaye alifariki kutokana na kuzidisha dawa za kulevya.
5 Reactions
56 Replies
7K Views
KUFAULU mtihani wa kidato cha nne kwa mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Sonia George aliyepata Division One, kumeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi...
3 Reactions
29 Replies
14K Views
Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi...
10 Reactions
227 Replies
44K Views
Mimi Binafsi namuheshimu sanaa...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Moja kati ya principle yangu ya Maisha ni kutoingilia ugomvi kati ya mtu na mtu..Kama ugomvi haunihusu, huwa nakaa neutral kabisaa maana unaweza kujitoa muhanga halafu kesho ukaumbuka. 1. IBRAH...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao. Ni ajabu kwamba hata...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala, Harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse. Eeh bhana eeeh mwanadada presenter...
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. --- Ni couple ambayo imekumbwa na vizingiti vya hapa na pale so bado inaenda kimya...
5 Reactions
79 Replies
14K Views
Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:
4 Reactions
33 Replies
6K Views
Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki, Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu Ni label...
5 Reactions
52 Replies
9K Views
Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo. Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake. Picha zinakuja
8 Reactions
392 Replies
35K Views
Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya...
7 Reactions
65 Replies
13K Views
Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasilimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tz.naona clouds wameanzisha promo ya praise and worship kwa mama. Ni hivi huyu mama hahitaji promo imetokea tu watu wengi kumpenda kama nyota za...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…