Ilikuwa 1986 Legends paying respect kwa legend mwenzao RIP [emoji120] the Brown Bomber..
Hapa Nawaona Joe Frazier Muhammad Ali, Sugar Ray Leonard
Wakuu endeleeni kuwataja Wengine Kama Mnao Wajua
Mtangazi wa Wasafi FM kituo kinacho milikiwa na Joseph Kusaga amefunguka wazi yeye awezi kamwe kumtafuta msanii yeyote yule amfanyie interview hasa Nandy.
Mtangazi Lily Ommy amesema wazi kabisa...
Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate.
Nadhani hakuna msoma classfieds...
Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema...
Habari waungwana! I hope wote mpo salama!
Ni muda sasa takribani miezi 10 member ONTARIO haonekani tens humu!!! Nimefuatilia nimegundua Last seen ni January 13 2018.
Mwenye kufahamu acc mpya...
Wakulungwa inakuwaje?
Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa...
Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.
Kutokana na...
Huyu mtu inawezekana ni saa sita kasoro, akili zake za kipuuzi sana hakafu anajiita mlezi wa waimbaji wa injili? Labda mlezi wa madanguro.
Ndio maana Flora alijikata haiwezekana aligundua anaishi...
VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE.
Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu...
Kiukweli nawakubali sana wcb ila wanakoelekea naona wanatuharibia maadili maana jana nimefedheheka sana.
Jana nlikuwa nacheki hii video na mtoto wa ndugu yangu ambae huwa ananiuliza maswali sana...
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise"
Back to my topic.
Nikki wa Pili...
Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu
Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama...
Habari za jioni Wana JF wenzangu
Nimekua nafuatilia show za wanamuziki na matukio mbalimbali yanayoendelea nchini kwetu napenda nitoe tafakuri yangu juu ya hizi shows wanazoalikwa wanamuziki...
Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa...
Ni kama mtu anayevaa kanzu na barakashia alafu mkononi anachupa ya bia ama msokoto wa bangi. Si sahihi kabisa.
Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF.
Leo naomba tujadili hili suala la...
Moja wapo ya Kanuni za Utangazaji hasa wa Runinga ni Mtangazaji Kuuvaa Uhusika hasa wa Jambo fulani unalolitangaza ili Hadhira nayo ikuelewe.
Tuko katika Kipindi cha Majonzi cha Kushangaza...