Tetesi: Tuhuma za Bi Sandra (Mama Diamond) kumnyanyasa binti wa Miaka 14 kutoka Congo

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu

Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama utapendezwa mtendee haki uyu mtoto alie taka kufanyiwa kitu kibaya na wanaume wa nne alie fanya kazi za Ndan miaka kibao Bure

Serikal huyu mama anatakiwa ku onywa

===========

Huko mitandaoni kuna tuhuma zinasambaa dhidi ya Bi Sandra, kunyanyasa binti aitwae Shakira, inasemekana huyo binti alichukuliwa na Mama yake Diamond kwa nia ya kusaidiwa sababu alikua hana pa kuishi.

Maelezo ya Shakira mwenyewe anasema alipochukuliwa alipatiwa kazi ya kusidia house girls huku akisubiri utaratibu wa kisheria/polisi ili aweze kupelekwa shule ama kuishi kihalali kwa Mama Diamond kama mfanyakazi, lakini aliishia kunyanyaswa na mwisho wa siku akaiba simu na kutoroka kuepuka manyanyaso.

Hata hivyo simu aliyoiba akaishia kutapeliwa mtaani. Chanzo cha stori hizi kutapakaa mitandaoni ni baada ya Kipindi cha ICU cha Kwisa kurusha hewani ambapo mashuhuda walio hojiwa wanasema Mama Chibu alituma mabaunsa kumdhuru mtoto. Tusubiri upande wa pili ujieleze ili tupate picha kamili.

Screenshot_20210619-154258.png
 
Maswali ni mengi kuliko majibu.

Huyu binti wa kikongo walipomchukua walipata vibali vyote uhamiaji au ndo ile dezo ya cheap labour wakaona wambebe tu.

Asilimia kubwa ya watanzania wanapenda mteremko leo wanachukua wakongo, wazambia, warundi, warwanda etc kesho na kesho kutwa wakiinuka na kuwa viongozi wakubwa wanaanza kelele wahamiaji mara wakimbizi.

Hili suala ni ishu kubwa hasa uhamiaji. Sema kibongo bongo kisa sadala ana kajina watapotezea ila haifai na kisingizio kuwa walikua wanamsomesha mmh walipata wapi document zote za kumleta mkongo shule za bongo. Familia ina mambo ile duh.
 
Sidhani Kama ni kweli aiseee.... familia na Jina kubwa hivyo ijiingize ki rahisi kwenye maswala ambayo yanaweza kuletea kashfa kirahisi tuu??... anawalipa mabaunsa na watu kibao wako kwenye payroll yao leo wakatafute housegirl cheap ili iweje, huu ni uongo per se!
 
Sheria ziko wazi kwa yeyote anaye mhifadhi mgeni bila kuwa na vibali, ila kwakuwa kuna double standard litaisha tu bila mtu kuwajibishwa!!sheria ikitaka kuchukua mkondo wake utasikia wanaibuka watu ohhh hizo ni chuki za mafanikio ya sadala!!
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...

Ila inawezekana maana mswahili akipata... makalio hulia mbwata...
 
Kukaa na mtu ambaye siyo raia bila kibali ni kosa kisheria, kumfanyisha kazi mtoto under 18 ni kosa kisheria, mtoto ameonekana ana mikwaruzo miguuni na mikononi sijui kapigwa hiyo ni child abuse.
 
Sheria ziko wazi kwa yeyote anaye mhifadhi mgeni bila kuwa na vibali, ila kwakuwa kuna double standard litaisha tu bila mtu kuwajibishwa!!sheria ikitaka kuchukua mkondo wake utasikia wanaibuka watu ohhh hizo ni chuki za mafanikio ya sadala!!
Binafsi sijawasikiliza wala simshutumu yeyote ila Diamond na mama yake wana hiyo tabia sana.

Hata Lizer producer, Diamond alimtoa Burundi kwahiyo hakuna hakika kama ni mbongo.

Qboy pia Diamond alimtoa Burundi.

Kuna siku kitambo Diamond alikuwa anahojiwa Jahazi ( enzi za kina Kibonde ) wakati huo Qboy wameshamfukuza, akawa anawaponda. Diamond akawa anasema kama Qboy akiendelea kuongea, eti anaweza kumpoteza kwa kupiga simu moja tu Uhamiaji.

Binafsi nikajiuliza, hivi jamaa hajui kuwa hata kuajiri mhamiaji haramu na wewe unakuwa na makosa pia ?

Na mara nyingi huyo mama yake amekuwa na safari nyingi za Kigoma kwahiyo kuna uwezekano mkubwa ni kweli alimchukua huyo mtoto.

Ila ndio hivyo nchi hii, hakuna atakayejali mpaka siku akija kukosana na watawala ndio makosa yote yatafufuka.
 
Sidhani Kama ni kweli aiseee.... familia na Jina kubwa hivyo ijiingize ki rahisi kwenye maswala ambayo yanaweza kuletea kashfa kirahisi tuu??... anawalipa mabaunsa na watu kibao wako kwenye payroll yao leo wakatafute housegirl cheap ili iweje, huu ni uongo per se!
Halafu usije ukaona misafara mikubwa, watu kibao pale Wasafi ukahisi wanapewa sana pesa.

Qboy amekaa sana pale, alikuwa designer na stylish wa mavazi, katoka na nini ?

Mwarabu fighter katoka na nini tofauti na umaarufu tu ?

Maisha ya Instagram yana mbwembwe sana, ila kiuhalisia hali ni tete tu.
 
Back
Top Bottom