Mwanamuziki Dullama kabila amedai kuwa msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara alimrubuni kuhamia klabu ya simba ambayo hapo awali alikuwa akiifanyia kazi.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Dulla...
Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo...
Mengi yameongelewa kuhusu kukosa tuzo za MTV kwa wasanii wote waliokuwa nominated toka hapa nchini kwetu... teams zimetupiwa lawama za kutosha.... wasanii wametupiwa lawama pamoja na wadau...
Vita vikali vinaendelea kati ya wadada wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya filamu, Wema sepetu pamoja na Jackline Wolper, ambapo hivi karibuni mrembo wolper alipost kwenye ukurasa wake wa instagram...
Mabadiliko ya vipindi vya Redio yamekiondoa kipindi cha Amplifier, kutoka kwenye studio za CMG na muda wake uliozoeleka kutoka saa 1: 00 (usiku) hadi saa 3 : 00 (usiku) kwasasa kinarushwa studio...
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.
Jina lake ni...
1. Salim Ahmed Salim - ni mwanadiplomasia mkongwe wa kimataifa aliyewahi kupata nyadhifa mbalimbali kubwa ikiwemo ile ya ukatibu mkuu wa Umoja wa Afrika.
2. Filbert Bayi - ni mwanariadha maarufu...
Anaitwa Huddah Monroe! Amezaliwa mwaka 1995 october 10 huko Kenya. Elimu yake ni form 4 au high school kwa huko kenya. Amejizolea umaarafu kutokana na majarida ya ulaya na marekani kumtaja kama...
Mambo yanaenda kasi sana jamani.
Lile penzi moto moto kati ya Rayvanny na Paula binti Kajala huenda likawa limefika kikomo baada ya kila mmoja kuacha kumfatilia mwenzake huko mjini Istagram...
Wakuu habari zenu!
Nimeona kuleta hili kwenu kwa maana nipo nacheck movie ya marehemu bluce lee inaitwa game of death
Sasa katika hii movie bluce kuna sehemu alikuwa location anafanya scene ya...
Kipindi msanii huyu ana-hit na ngoma zake zile Latifa na Mapenzi Kitu Gani alifunguka kwamba anampenda Nancy Sumari na anatamani awe hata mkewe wa ndoa.
Kwa namna jamaa alivyokuwa juu, si rahisi...
Mnamo miaka ya 2000 mziki wa Bongo fleva ulichangamka sana, pia ulichangamshwa kupitia wazalishaji wa muziki (producers) ambao walikuwa na vipaji pamoja na ushindani wa kweli,
kuna baadhi ya...
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET...
Mimi ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.
Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo...
Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi mwaka 1988 wakati Mike Tyson anamuajiri Donald Trump kama mshauri wake wa masuala ya kifedha na mipango... Leo "boss" Tyson hana hata nafasi ya kumsalimia...
Kumbuka ambae pia ni moja ya mtangazaji wa E-fm katika kipindi cha uhondo leo amefunguka na kusema Masha love alimutupia mtoto kipindi akiwa mdogo na umri wa miezi 6 tu. Hayo ameyasema kumbuka leo...
WCB kama hakuna mlezi wa kuwapa mawazo ya kimaisha kuhusu huko mbele mtakuwaje na pesa zenu basi.
Huyu kijana Rayvan jambo ulilolifanya kujitosa mpaka kumpeleka nje mchumba.
Nimekuonea huruma...