Barnaba Classic aka Mopao aka Mtukazi ambaye kesho anaachia album yake yenye hadhi ya kimataifa album inayoandaliwa kwa ajili ya international market.
Amesifu namna Diamond Platnumz alimpokea na...
Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa.
Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao.
Kwa sasa kupata nafasi WCB...
Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani.
Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae...
Ali Kiba kaanza kuimba zamani sana aisee, miaka ya 2006 jamaa aliwahi kupewa milioni 200 kwa mauzo ya kaseti na cd zake, hio milioni 200 ya enzi hizo naweza kusema ni kama milioni 600 ya sasa...
Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka...
Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepost video fupi katika ukurasa wake wa Instagram akionyesha yupo mbugani akiwa anakula maisha.
Japo hajaeleza kuwa yupo katika mbuga ipi...
Yes ni kweli nyimbo ya buga ni hakunaga iliyoboreshwa wengi watapinga ila ndo ukweli
Imeboreshwa kwenye kugha vinanda kidogo ila beat na maudhui ni yale yale
Kiufupi nyimbo zetu zinaibiwa sana...
Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa.
Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha...
Wasalaam wana jamvi!
Kama mnavyojua kuwa Alikiba ni mmoja wa wasanii wenye kibri na chuki ambazo zimejificha lakini kama utakuwa una mfatilia mwenendo wake kwenye sanaa utagundua kuwa Alikiba ni...
Angela Simmons ni binti wa Rev Run, Rapper mkongwe wa kundi la Run DMC.
Angela Simmons ndo celebrity wa marekani anayevaa shanga nyingi za kimasai kiunoni kama wanawake wa kiafrika.
Binafsi huwa...
Diamond analalamika watu hawana shukrani wakati huo huo yeye aliwekeza na amepata faida kwa uwekezaji wake, hizo shukrani anazitaka za kazi gani!.
Rayvanny na Harmonize wanalalamika walikuwa...
Nimeona interviews kadhaa za YouTube za kina Mwijaku na vipindi kadhaa vya Wasafi tv.. Mara Sijui S2kkizzy kafuta nyimbo ya Tetema ya Rayvanny youtube eti hajalipwa haki zake kutengeneza nyimbo...
Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo.
Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji...
Ukija kwenye Tasnia ya mziki wa Afrika Mashariki basi kati ya vijana ambao wanaimba ule mziki ambao ni wa viwango vya juu na hawatumii nguvu basi Marioo na Otile Brown wa Kenya hiyo sifa...
Usiku huu Harmonize amemuwekea dhamana msanii mwenzie wa Nigeria aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi la Tanzania.
Harmonize ameweza kumdhamini Kizz Danièl na kuondoka naye kutoka kituo cha...
Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi.
Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member...
Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha.
Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo...