Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

🤣🤣🤣🤣🤣Sitii neno lolote hapa
10 Reactions
25 Replies
6K Views
Mmakonde huyu wa Chitoholi ndiyo msanii namba moja hapa Bongo kwasasa.
6 Reactions
11 Replies
9K Views
Salaam kwa wana Yanga na wale ambao hamjabahatika kuwa wanayanga. Wanaume huu wimbo si mbaya kucheza na mpenzi wako kwani unamaudhui mazuri ya yeye kujidaia wewe. Ila sasa Jana nkazama boardroom...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Masanja Mkandamizaji ameulizwa anahisi kwa nini watu wengi hawamuelewi kwa namna yake ya mahubiri amesema kuwa sababu kubwa ni kuwa kuna watu wengi wanatamani awe kama Mtumishi wao yaani afanane...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Mkongwe huyo wa Muziki wa Hip Hop aliyetamba na Wimbo wa Gangsta's Paradise amekutwa na umauti akiwa na umri wa miaka 59 nyumbani kwa rafiki yake Los Angeles, Marekani. Rapa huyo ambaye jina lake...
12 Reactions
81 Replies
11K Views
Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap 1. Nacha 2. Stamina 3. Young Lunya 4. Chid Mentary 5. Tommy Thomas
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Mchekeshaji Trevor Noah kutoka SA ameachana na kazi ya kuhost kipindi cha habari na vichekesho cha The Daily Show.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu mwamba hanaga baya. Michongo yote anapata insta kama kawaida akipost kitu anaangaliaangalia waliocoment halafu anazama DM. Gwiji wa kariakoo bingwa kabisa afrika mashariki na kati anaitwa...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Linapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume. Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanasema utanyimwa kula ila siyo umbeya Haya dada mwenye habari zake mjin cocastic njoo utupe habar kamili juu ya hili? Kupitia kipnd Cha leo Tena segment ya zilizokiki nimemsikia Jose mara...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Hizi ni ngome tatu katika muziki wa Bongo Fleva Tanzania. Unajaribu kuwaza hawa watu walivyokutana siku hii walipiga stori gani? Pia unajaribu kuwaza kama hawa watu walijuwa leo wataitwa Legends...
10 Reactions
6 Replies
2K Views
1.fireboy ft ed sheeran_peru 2.oma lay ft Justin beiber_Anttention 3.burnaboy ft ed sheran_for my hand 4.chris brown ft Wizkid_call me everyday 5.rema ft Selena gomez_calm down
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000) Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
"Watu wanasema Haji anaoa kila siku, ni kheri mimi mwenye wake wengi kuliko vijana wengi wenye michepuko 5 au 6 hadi wanawapangia majumba. Mimi nimechagua kutozini, naoa" - Haji Manara Uzinzi ni...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Nilihudhuria live band moja hapa mkoani Dar es Salaam siku si nyingi na kilichotokea kilinisikitisha sana na kuamini kuwa bendi za Tanzania bado sana Kushindana na za Congo DR na Congo...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiwaangalia WASANII WENGI wa bongo flavour na WA mambele HASA kwenye MIKONO yao utakuta VIDOLE vitatu VYA mwisho vina Pete. Pete HIZI huwa zinakuwa na size kubwa ya kutisha lakini kwa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
BONGO FLEVA NI STORY YA SUGU, MIKE NA TAJI JOSEPH Mbilinyi ‘2 Proud’, kazi yake “Ni Mimi" ndio wimbo wa kwanza wa Swahili Rap kusikika Radio One Stereo mwaka 1994. Vilevile akawa Rapper wa...
34 Reactions
93 Replies
11K Views
Jana usiku wakati nachapa code za JavaScript (hii language siipendi basi tu!!) huku nasikiliza album ya Joyner Lucas -ADHD kuna wimbo mmoja unaitwa 10 Bands uli-popup. Ndani ya ngoma hii...
95 Reactions
262 Replies
44K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…