Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ikitokea Nimepata Tatizo Lolote La Kiusalama, Kuanzia Muda Huu Unapoona Hii Post Atakuwa Anahusika Rashid Makwilo Almaarufu Kama Chid benz na Genge Lake La Wahuni. Kwasababu Wamenifuata zaidi ya...
13 Reactions
83 Replies
7K Views
Ndani ya ndege kwenda Qatar
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile. Miaka kadhaa...
26 Reactions
44 Replies
10K Views
Kwamba unavaa milioni kumi toka juu kichwani mpaka kiatu chini, ili waliokosa riziki siku ya leo wasemaje ? Wamuone MUNGU anaupendeleo ama ? PROVERBS 1: 32 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
949 Views
Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
By Sangu Joseph Siku kadhaa Nyuma nilipata muda wa kutafakari kwa kina kuhusiana na Mchekeshaji Joti, nadhani kama Heshima anayopewa siyo anayostahili hapa kwetu Tanzania. Mimi kwangu binafsi...
14 Reactions
21 Replies
5K Views
Albert Mangwair ft Lady Jaydee - Mapenzi gani. Naisikiliza hapa hii ngoma, asee Cowbama ilikuwa kiwango kingine, ujumbe, huu mtiririko wa humu, midundo. R.I.P Cowbama.
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Naona kuna uwezekano haya ni mambo ya ndani sana ambayo pia msela alishaifahamu. inaonekana bomu hili lilizimwa kiutuzima na watu wengi kuficha heshima ya kanisa lao na jamaa yao kiongozi. Sasa...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Hawa jamaa wamerudi na ngoma yao nyingine ya mzee wa busara part II. Wanafurahisha tu kuwaskia tena baada ya miaka mingi wamenirudisha back in time. Nature kweli kiroboto yupo vilevile na ubora...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Tuukubali ukweli kwamba kila nabii na zama zake. Tuliona miaka ya elfu mbili mastaa kama Professor Jay, Ngwea, Fid Q, Kalapina, Juma Nature n.k, wakitawala Hip Hop huku Fid Q ndio akivaa taji...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Hivi kuna muimbaji wa muziki wa injili aliwahi tokea kumzidi Rose Muhando, naongelea wote wakike na wakiume? Kwangu mimi bado sijaona! Ukianza na Uwe Macho, Nibebe, Utamu wa Yesu, hizi album...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Jana huko mitandaoni palizuka ugomvi wa haja uliopelekea mwanamama Restuta Kweka aka rest BBQ kuingia live na kuwachamba mno Open Kitchen na Rachel Temu. Kisa cha ugomvi ni biashara mpya...
12 Reactions
67 Replies
9K Views
Aisee baada ya kifo cha TAKE OFF sijui kama kundi litaendelea kuhit..kifo cha jamaa kimetikisa sana yani bado najiuliza why niggaz wanauana sana huko USA?? ukisikiliza album kama CULTURE III ndo...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Msanii mahiri wa Tanzania, aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother, Idriss Sultan apata dili la kimataifa la kuonekana kwenye kampuni kubwa ya kuonesha Movies ya NETFLIX
10 Reactions
61 Replies
9K Views
Nyimbo inamiaka 20 sasa!
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wadau nimeamua niulize hili swali ili nipate uhakika! Ni usiku huu nipo nimetulia hapa mageto nasikiliza Clouds FM, nadhani itakuwa ni kipindi cha Soso Fresh Friday (sina uhakika), Adamu Mchomvu...
12 Reactions
53 Replies
8K Views
Muziki una ushawishi mkubwa Duniani kisiasa (wakati wa kampeni na ziara ),kiuchumi na kijamii. • Takwimu zinaonyesha kwa wastani mtu mmoja ana tumia masaa 961 kusikiliza muziki kwa mwaka. •...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Hawa wasanii wa bongo starehe zitawapeleka pabaya Kibaya zaidi wakipata shida wanaenda kulia kwenye mitandao ya kijamii na kuomba msaada Mimi nadhani Wasanii wa bongo wanaitaji elimu ya...
3 Reactions
36 Replies
6K Views
Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…