,Ni kijana wa kitanzania mwenye upeo wa hali ya juu mimi na umri wangu wote sisikilizi nyimbo za kitanzania ila huyu jamaa acha mwanangu ukirudi mjini ptia kwangu na uniletee album yake huyu...
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 0759209081 MBEYA dear diamond.... sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii...
Ni ya kufikisha miaka 18 ya kuzaliwa.
MY TAKE:
Whom dose she think she is still fooling hata kama wote tunajua hafungwi tena? Angekaa kimya tu ingemsaidia zaidi kuliko kutonesha madonda...
jamani, tuna masiku sasa hatumsikii muzee mujanja a.k.a. PJ.. tulisikia tu kapata matatizo j3 alipokuwa akielekea kazini, matatizo gani? alipatwa na nini? yuko wapi sasa?
wadau, kuna mwenye kujua...
Fuatilia matangazo ya Clouds Fm, jinsi walivyoamua kutumia umaarufu wa Bi Kidude kumfanyia biashara.
Wanaweka vionjo vya Bi Kidude, kisha wanasema 'made in Tanzania' kwa hisani ya 'Maxi Malipo' ...
hivi wana JF, nani anajuwa Fikiri Madinda yuko wapi na ana hali gani kwa sasa? Na anafanya shughuri gani kwa sasa? Na wakati anapaishwa na bendi za muziki ilikuwaje? Dunia hadaa ulimwengu shujaa
huyu jamaa ana watu kila kona ya nchi hii,ndiyo maana CCM washashitukia hilo siku nyingii,so nao wanamtumia kwenye SHOW zao
ilikuwa ni leo kwenye mkutano wa CCM Moro.
There's good news and bad news for Lauryn Hill. The good -- she wasn't sentenced to prison on Monday for tax evasion. The bad -- she has to come up with more than $500,000 before May 3 to stay out...
Mr Nice back and says not HIV positive
Nairobi, Kenya | By Cate Mukei - The Standard | April 20, 2013
Mr Nice has re-launched his career in Kenya under Grandpa Records.
In 2004, the Tanzanian...
Wadau, nimekuwa nikisikiliza Jahazi takribani siku kadhaa sasa bila kusikia Arnold Kayanda wa jahazi la Kibonde wala Gereld Hando wa PB.
Hawa watu (top in town) wako wapi? mapumziko au ndio...
Naomba kujuzwa hivi huyu mtangazaji wa KISS FM Mwanza ni wa kike au wa kiume au wa jinsia Boflo maana nashindwa kuelewa maana sauti yake ni ya ki-SHE kabisa japo nasikia jina lake anaitwa SHAABAN...
Msanii Elizabeth Michael, maarufu kama Lulu (Hot Lulu), ameepuka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua msanii mwezake, R.I.P Steven Kanumba baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP)...
Na Saleh Ally
MGOGORO wa kimuziki kati ya msanii Judith Wambura Mbibo Lady Jaydee na kituo kimoja cha redio umezidi kuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake na...
Tajiri Nambari Moja Duniani Atua Arusha Kimyakimya
TAJIRI namba moja duniani, Bw. Mukesh Ambani (53) (pichani) raia wa India amewasili nchini jana alfajiri kimyakimya kwa safari ya
kitalii...
This was shocking to me, Beyonce's Baby Blue Ivy Carter has turned into a beautiful princess who closely resembles YMCMB rapper Drake. And the question now here is could he be the father not Jay Z...