Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kweli kila familia ina black-sheep... While Madonna ni bilionea kumbe kaka yake ni homeless kwa miaka mitatu now? Madonna's brother begs for help after being homeless for three years
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Matumizi ya ngada(dawa za kulevya)yanaendelea kuangamiza nguvu kazi ya tz,kuna maeneo mengi tunashuhudia mateja wala ngada,maeneo hayo yakiwa bayana labda wahusika watafatilia root cause,mfano ni...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu hebu nisaidien detail na mahali alipo na kama bado anaendelea kuigiza, muigizaji wa bongo movie wa siku nyingi aitwaye Nuru ambaye aliigiza movie kama Dangerouse desire na Sikitiko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WEMA AKIMBILIA ZANZIBAR KUJIFICHA BAADA YA KUMJERUHI MENEJA WA HOTELI, POLISI WAVAMIA NYUMBANI KWAKE NA KUFANYA UPEKUZI MKALI...!! POLISI wapatao sita Jumamosi iliyopita walivamia nyumbani...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
hivi huyu mfanyakaz why anatoa siri za mteja. na wewe bi shost aka mama boi punguza mashauz ndio maana unachambwa nilifikir zari atakupa mkopo unavyomsifia.
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Hii habari nimeiona katika website ya Joyce Kiria , Ni tukio la mwaka sijawahi hata kulifikiria, kwa maelezo zaidi na kujua mengi tembelea .....Talk Show ukaone yaliojiri huko msibani. Dah huyu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mama mzazi wa msanii wa kizazi kipya Joseph Haule amefariki katika hospital ya Tumbi. Kifo chake kemetokana na ajali ya gari huko Mbezi ,alikuwa anaenda dukani upande wa pili wa barabara ndo...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Hakuna msanii wa Bongo mgumu kumuintavyuu kama TID; Jamaa ana kila aina ya dharau + majivuno,sipatii picha angekuwa na hela au angeendelea kuwa na ile nyota yake ya kipindi kile enzi za ZEZE na...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Wana jamvi, nimevutiwa na aliyekuwa mh.waziri wa mambo ya ndani ya nchi, bwana Lawrence Masha ktk kipindi cha mkasi kilichorushwa jana na EATV. Pamoja na mambo mengine bwana Lawrence Masha alisema...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Nimetizama video ya wimbo love me , hizzo bisness akimshirikisha barnaba sina budi kusema , ulikuwa na haki ya kumuweka barnaba boy, kwa kweli katenda haki , daah no comments !!
0 Reactions
21 Replies
4K Views
kwa lugha rahisi kabisa mwanadada agnes masogange alipita na kilo 150 za madawa ambazo ni sawa na mifuko mitatu ya cement kwani mfuko mmoja una kilo 50 sasa sijui alibebaje
0 Reactions
32 Replies
7K Views
LOS ANGELES (Reuters) - R&B singer Chris Brown had his probation revoked on Monday by a judge in Los Angeles after he was charged in a hit-and-run traffic accident last month. Brown, who has been...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Angnes katika poziiii Tuache tofauti zetu.....ila tufanye tuwezalo watanzania tumtoe huyu mtoto lupango sauzi....
2 Reactions
48 Replies
25K Views
Naomba tu kueleweshwa wakuu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ilikuwa kabla hajadakwa na mzigo alipost hivi kwenye mtandao Picha aliyoipost Agnes Masogange katika mtandao wa Instagram kabla yeye na mwenzake hawajakamatwa na shehena ya madawa ya...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Kwa mujibu wa DjChoka kupitia ukurasa wake wa instagram ni kuwa mama yake msanii nguli Prof Jay amefariki usiku huu hospitali ya Tumbi baada ya ajali ya gari Mbezi Mwisho. .I.P mama Joseph Haule.
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Inaelekea President Obama kaacha upepo mzuri Tanzania manake taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita baada tu ya bondia Evander kuthibitishwa na yeye kuja Tanzania, mtangazaji staa wa dunia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Adai kwamba hana sababu ya yeye kutumia pesa nyingi kutendeneza video maana ahitaji kujipaka poda, lipstick, mkorogo na kadhalika Mara nyingi anatumia laki 5 hadi 7 kuandaa video, kwanza soko la...
2 Reactions
28 Replies
8K Views
bandughu nilikua nafuatlia kipindi cha take one jana ambapo ilikua ni mahojiano na Lulu, alipoulizwa kuhusu mafanikio yake akasema amefanikiwa kuwa na kampuni yake my take pamoja na kumpongeza...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ana kisura kizuri sema kinachomharibu ni mkorogo tu. Wimbo wa majanga pia mzur sana.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…