wasanii wa temeke(TMK) na misosi kwenye nyimbo zao

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Asilimia kubwa ya wasanii wa tmk wanachanganya maneno yanayo husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k.
hadi sasa hivi sijajua kama ndo misingi yao au vipi.
sikiliza nyimbo zifuatazo;.
:nampenda yeye by temba
:dar mpaka moro by tmk
:twende zetu by tmk
:ndege tunduni by tmk
:karibuni kiumeni by tmk
:temeke by tmk
:tatu bila by tmk
:sonia by doro(tmk)
pamba nyepesi,mtoto wa geti kali by babu(tmk)
zipo nyingi sana.
nawasilisha.
mia
 
wanasema ukiona mtu anahangaika na kitu flani ukubwani ujue utotoni alikikosa. si unayajua maisha ya TMK ndugu yangu!
 
...husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k.
hadi sasa hivi sijajua kama ndo misingi yao au vipi...
Misosi (Vyakula) na vinywaji ndio starehe ya binadamu, maana hawezi kuishi bila vitu hivyo viwili.
 
Asilimia kubwa ya wasanii wa tmk wanachanganya maneno yanayo husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k.
hadi sasa hivi sijajua kama ndo misingi yao au vipi.
sikiliza nyimbo zifuatazo;.
:nampenda yeye by temba
:dar mpaka moro by tmk
:twende zetu by tmk
:ndege tunduni by tmk
:karibuni kiumeni by tmk
:temeke by tmk
:tatu bila by tmk
:sonia by doro(tmk)
pamba nyepesi,mtoto wa geti kali by babu(tmk)
zipo nyingi sana.
nawasilisha.
mia

Ndio uwezo wa kutunga ,ukiangalia wasanii wengi wa hicho kikundi labdas umuondoe mheshimiwa Temba life yao ya utotoni haina tofauti na watoto manunda,si unajua tena watoto wa uswazi msosi kwao ndio kitu wanachokiona kama kipimo cha uwezo
 
Masahihisha
Sonia: by Sir Nature
Radhia: by Dolo
Ni mtazamo wao na uhaba wa fikra mpya ndio vinawakwamisha.
 
"Asiye fanya kazi na asile", unajua uzito wa usemi huu? kama mtu atakosa mlo hatoweza kufanya lolote. Tazama hata kwenye sherehe, vinywaji vinaweza kuwa vingi na vya gharama, lakini bado usambazaji wake hauko limited. Linapokuja suala la msosi, lazima utengwe muda maalum na nyimbo laini. Hii inawezekana miongoni mwa starehe kubwa za binaadamu, msosi pia upo. Kama ni starehe, anayeimba misosi anaonyesha ni jinsi gani an-feel katika suala zima la misosi!
 
Ukweli ni kwamba uwezo mdogo wa kudadavua mambo hasa kutokana na kupitia madarasa machache...hata wengi wenu mmepanuka sana tangu muanze kuhudhuria JF coz kila siku bila shaka kuna jambo jipya mwajifunza
 
hapo kwa nyekundu sio sisi tu na wewe pia mojoki
Ukweli ni kwamba uwezo mdogo wa kudadavua mambo hasa kutokana na kupitia madarasa machache...hata wengi wenu mmepanuka sana tangu muanze kuhudhuria JF coz kila siku bila shaka kuna jambo jipya mwajifunza
 
wanasema ukiona mtu anahangaika na kitu flani ukubwani ujue utotoni alikikosa. si unayajua maisha ya TMK ndugu yangu!
kama ulimsiki jum nature jana itv,.interview yake ilikua about "maugali, mapochopocho na kachumbali" eti yote yatakuepo kwenye show!!!
 
kama ulimsiki jum nature jana itv,.interview yake ilikua about "maugali, mapochopocho na kachumbali" eti yote yatakuepo kwenye show!!!

jamaa ni wasanii hata lugha wanayoitumia ni ya sanaa kama hapo hawamaanishi unachofikiria!......na vilevile ulimbukeni wao wa misosi si mbaya kama ulimbukeni wa wasanii wengine wa mademu!najua usingeshangaa kama juma nature angesema katika show yake watakuwepo mademu wakali wanaopiga pamba vimin na vitop vya kufa mtu!jamaa wapo real.......
 
Kweli mkuu japo wewe umepanuka zaidi coz u r here since long time ago (swali la kizushi:ni wewe mabags wa pugu sekondari? Au majina tu yamefanana mkuu
 
jirushe rushe rushe heeeeh..!! hapa ni mwendo wa bia na kuku mzima by doro wa wachuja nafaka(wanaume halisi)
 
Kuna wimbo mmoja kama sikosei aliimba yule mtoto wa mama Saidi (Chege) na huyu anayejiita muheshimiwa Temba kuna ubeti unasema "Twente nikakupige Mipini mpaka Kuchekuchee" sijui walikua wanamaanisha nini pale?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom