Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume.
Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake...
Kwa maoni yangu NADHANI Rais Samia anakosa ujasiri wa kusema hili silitaki baada ya kushauriana na roho mtakatifu peke yake bila kumshirikisha yeyote.
Nyerere alikuwa na karama hivyo. Alikuwa...
Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo.
Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua?
Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa.
Ni kwanini...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa.
1. Daraja la Magufuli/Busisi.
2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi.
3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba...
Kenya imethibitisha mgonjwa wa tatu wa Ebola aina ya Bundibugyo.
-
Mgonjwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 65, ambaye ni ndugu wa karibu wa wagonjwa wawili wa kwanza.
Alikuwa amewekwa karantini...
Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je...
Nazungumzia vitz new kuanzia toleo la 2007 zenye engine ya cc 1290 , 2sz, 1nz,2nz kuendelea hii gari haizungumziwi sana kama IST
Ila ni moja kati ya gari comfortable kwa mtu mwenye kipato cha...
Radha za ras simba,john mtembezi na wagosi zihusike.na wao pia wapate mgao wa keki za wachonga.
Waliotangulia mbele za haki tuwaenzi kama tulivofanya kwa man dojo na mangwair.tufanye pia kwa JOHN...
Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.