Leo ni siku ambayo kesi ya Lissu inaendelea mahakamani. Tunaomba Manyanza utuletee hiyo Update.
MAHAKAMA IMEANZA MAWAKILI WA SERIKALI WANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO.
SEHEMU YA 1.
Jumanne...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimekuwa katika industry ya kilimo na ufugaji na nimejifunza mengi kwani kuna changamoto nyingi kuanzia unapoweka kuku bandani siku ya kwanza hadi unawatoa.
Kila wiki katika ufugaji inakuja na...
Habari.
Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mahusiano ya kudumu "NDOA NA KUJENGA FAMILIA BORA PAMOJA".
Awe na miaka kati ya 22 hadi 33.
NB: Kama yupo mwenye uhitaji wa dhati basi tuwasiliane kwa...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na...
Sikubali.
Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania...
Kama ilivyo tangazwa hapo awali,
Leo ni Mgomo wa Madereva wa Malori, Mabasi na IT Nchi Nzima Tanzania.
Hivyo kama ni msafiri, tumia njia nyingine kama ndege, Treni au Meli hata Mtumbwi.
Asante...
Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama...
Inamaana mimi kutoa maoni yangu kuhusu wanawake wa jf kuwa wabovu hairuhusiwi?
Kwani nimetaja mwanamke yoyote au Nimetoa mawazo yangu?
Mbona mnakuwa na hulka za kishamba kufuta futa nyuzi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.