Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu...
Wakati mwingine wazo moja linaweza kubadili kabisa maisha yako ukilichukua kwa uzito na kulifanyia kazi.
1. Ukiwa unaoga 🚿
Hii Ni sehemu ambayo inafanya akili yako ipumue. Ghafla unaweza kupata...
Ushauri: Nashauri tugome kufanyakazi au kununua bidhaa na huduma za serikali tarehe 29/10/2026 ili kuwakumbuka waliouwawa
Hii itafanya serikali kuwajibika ipasavyo na ndugu zetu kupata haki...
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imefanya ziara ya kukagua
miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo na kuipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradi hiyo.
Moja...
Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah...
kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga.
Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya...
Ishawahi kunikuta hii
Niliwahi kudate na wadada wawili kwenye chuo kimoja
Sijui ikawaje wale wadada wakajua kuwa nadate nao wawili
Wakatengeneza group la Whatsap wakaliita 'Mume Wetu'
Siku...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Salam Wakuu,
Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.