Binadamu tuna ndoto, malengo na matamanio mengi kuhusu maisha Tunapanga kuwa na nyumba nzuri, gari, ardhi, biashara na mafanikio mengine mengi
Lakini umewahi kujiuliza kuhusu mwisho wa safari...
Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo.
Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua?
Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa.
Ni kwanini...
JE, UKWELI UNABADILIKA KWA SABABU WATU WENGI HAWAUAMINI?
Fikiria jambo fulani ni la kweli, lakini kila mtu unayemzunguka anaamini ni uongo. Je, wingi wao unalibadilisha jambo hilo kuwa uongo, au...
Kwa sàsa hivi vifo vya vijana kutokana na ajali za bodaboda ni vingi mno.
Vijana wanaendesha pikipiki bila kuwa na leseni na wakati mwingi hata bila kuwa na pikipiki hizo kusajiliwa.
Vijana huwa...
Habari wakuu, Naomba mwenye uzoefu na hili jambo anipe mwongozo.
Nataka kuweka umeme kwenye kakibanda changu lakini kutoka iliko nguvu hadi kibanda kuna uwezekano wa kuwa na nguzo 3...
Kwa maoni yangu NADHANI Rais Samia anakosa ujasiri wa kusema hili silitaki baada ya kushauriana na roho mtakatifu peke yake bila kumshirikisha yeyote.
Nyerere alikuwa na karama hivyo. Alikuwa...
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa...
Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s
SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization.
Tulidanganywa mengi...
Kwanza nianze kwa kutoa shukrani nyingi mno kwa jamii forum na watu wake mmeonesha kuwa ni jamii kweli kwa kuonesha kuguswa na matatizo ya watu wengine hata kama hamfahamiani japo wapo wengi wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.