Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hamjambo! Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills. Kimedani naona kabisa...
3 Reactions
31 Replies
222 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
136 Reactions
435K Replies
16M Views
Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio...
1 Reactions
34 Replies
342 Views
Dunia ya sahivi inataka u binafsi. Kwenye familia yako usiishi na ndugu, ndugu wape misaada wakiwa mbali utajiepusha na mengi.
14 Reactions
88 Replies
772 Views
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa tamko la kujibu taarifa iliyotolewa na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika na...
1 Reactions
38 Replies
235 Views
90% ya mapenzi ya sasa kijana wa kiume na wa kike wakichati meseji 5 kila mmoja ya 6 itahusu pesa . Nikuambie kitu? Mwenzenu nina shida Naomba 30, 20, 50, 100. Sijui nywele zimefanyeje. Enzi zile...
12 Reactions
52 Replies
222 Views
Ngoma inazidi kuwa ngumu every year,matukio kibao talaka zimezidi mno.saiv ngoma inapasuka na wachezaj hamna!
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Sababu gani zilizokufanya uzae watoto au za kukufanya uzae au uwe na mpango wa kuzaa watoto hapa duniani?
12 Reactions
93 Replies
565 Views
Mzigua kaka, huna baya, yani nakukubali sana dah! Hupendi ugomvi, wewe ni mstaarabu sana, na ndiyo maana nimeamua kufungua uzi maalumu kwa ajili yako, mkuu. Wewe ni noma hapa jukwaani! Au wadau...
2 Reactions
14 Replies
52 Views
Anonymous
KERO 
Malalamiko yangu ni kuhusu RITA Dodoma nimefanya maombi ya Cheti cha Kuzaliwa kwenye mfumo wao lakini imepita week tatu sasa hivi bado sijapata cheti cha kuzaliwa. Pia, wanasema tuambatishe...
0 Reactions
5 Replies
21 Views

FORUM STATS

Threads
2,110,796
Posts
56,527,546
Back
Top Bottom