Unakuta mnaongalia nao chaneli za video zile ambazo zuchu anaimba matusi na wadada wake kutingisha makebo hadi wimbo unaisha.
Akitoka hapo anachukua simu yako anaingia instagram anakuta...
Msaada gharama ya kulipia kutambulisha nyimbo wasafi FM, clouds, crown na EATV au kama Kuna mdao anaweza nishika mkono tafadhali.
Ngoma ni ya moto wakuu msaada PLIZ Sito kosa show hata ya...
NAWAPA SIRI NYINGINE; VITU VYA BURE VINA LAANA. UKITAKA KUPATA SHARTI UTOE KIDOGO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukafanikiwa kwa kitu ulichopewa bure au ulichokipata bure bila...
Kwa mtazamo wa kiroho, kuna nyakati mtu anafanya kila analoweza katika ulimwengu wa mwili anasoma, anafanya kazi, anafanya biashara na anapambana lakini bado anaamini kuna kizuizi cha kiroho...
Abiria waliosafiri na BM Coach Kutoka Arusha siku ya Jumapili 25-10-2026 , namba tajwa hapo juu, ilitoka saa nne kamili na kufika moshi Saa sita kasoro, japo ilipaswa kufika saa tano na nusu kama...
"Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi.
Ni msemo unaolenga...
Njia pekee ya kurudisha Uhusiano na Watanganyika ni kuhakikisha kwamba Twaha havushwi mpaka kuingia kwenye Nchi ya Mauaji na kuachiwa huru
Mlio karibu na Ruto mwambieni mapema jambo hili...
Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅
Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017...
https://youtu.be/ysrEn9vEb-M?si=EDdmtxh6RRcfPyhP
Tazama pass zilivyopigwa goli la kwanza na la tatu Achana na goli, angalia pressure waliyotia kipindi cha pili, kama nyuki.
Barcelona leo wakiwa nyumbani wanatukaribisha vijana kutoka Madrid kwenye mchezo mkubwa na wenye msisimko.
Barcelona anaingia kwenye huu mchezo akiwa favourite kwasababu ya home ground lakini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.