Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Alhamdulilah nimetoka salama nimepata mikwaruzo kidogo kwenye mikono na mguu wa kushoto niliubamiza unauma kimtindo. Dah niliona kabsa kifo hichi hapa ila maisha yamenipa another chance. God did!!
17 Reactions
104 Replies
686 Views
Naona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi.. Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono. Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka Naona...
2 Reactions
18 Replies
44 Views
Tukio la kusikitisha lililotokea Arusha , kwa kifupi binti anauza uchi, amepanga nyumba ambayo ni Danguro , kosa la jinai lakini walikuwa na matron wao, menas Kumiliki danguro ni kosa la jinai...
4 Reactions
32 Replies
236 Views
Kauli kama hii ingetokea China ... Tundu Lissu angenyongwa hadharani tena kwenye uwanja wa mpira siku hyohyo pamoja na watumishi wote wa hicho chombo kilichopost UPUMBAVU. Kisa familia zenu zipo...
1 Reactions
42 Replies
253 Views
habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au...
19 Reactions
127 Replies
1K Views
Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa...
7 Reactions
48 Replies
383 Views
Closed, Problem solved!
2 Reactions
13 Replies
86 Views
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Godlisten Elisante Malisa amehoji kuhusu Fedha ambazo Serikali ilisema imetenga kwa ajili ya Mvua za El Nino zimetukaje hadi sasa "Naomba kuuliza...
2 Reactions
18 Replies
120 Views
Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi...
18 Reactions
51 Replies
853 Views
Mwaka 2010, nilipata funzo kuwa ukiwa umenyooka kama rula unaoneka kichaa machoni pa watu. Yako mengi niliyafanya kuninufaisha pasipo kuingilia ya wengine. Kwa mfano, mwaka ule nilikuwa ninaweza...
0 Reactions
0 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
2,101,994
Posts
56,376,105
Back
Top Bottom