Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii Wale tunao...
3 Reactions
15 Replies
127 Views
Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi...
18 Reactions
244 Replies
2K Views
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza...
5 Reactions
37 Replies
303 Views
Baada ya tukio la kupigwa shaba huko Daslam.Kuna wanaume dhaifu wengi kwenye comment katika mitandao ya kijamii mbalimbali wanashauri ujinga ujinga. Guys tuache upumbavu.Kama wewe unauwezo wa...
3 Reactions
25 Replies
70 Views
Huyu jamaa angempa hata teni
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wanaukumbi. Iran imeanzisha mashambulizi dhidi ya mataifa ya Ghuba na kutangaza Mlango-Bahari wa Hormuz kufungwa baada ya Marekani kufanya mashambulizi yake ya tatu katika wiki moja, katika...
11 Reactions
791 Replies
12K Views
Ujana wangu upo ukingoni Sasa very soon naenda hit 40,miaka kumi na mbili iliyopita nilipanga ujana wangu ntautumia wote nikiwa bila mke ila lazima niwe na watoto , nilipanga ntatumia muda mwingi...
5 Reactions
17 Replies
221 Views
Mfano ukienda Moshi, Mbeya, Iringa, Arusha, Mwanza, n.k. sehemu hizo kuna presence kubwa ya makanisa na kuna maendeleo kuanzia elimu, afya, n.k. Lakni ukienda sehemu zilizojaa waislam kama...
9 Reactions
141 Replies
1K Views
Kwema wakuu.. Kununa, kususa, hasira na mengine ya kufanana na hayo ni hadi kujifungua? Kadri siku zinavyosogea ndio vinazidi kuongezeka. Wenye uzoefu tupeane mbinu ili mambo yaende sawa. Kipi...
12 Reactions
76 Replies
345 Views
TABORA Kliniki ya Ardhi Kidijiti mkoani Tabora imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, huku wananchi wakiondoka na tabasamu baada ya kukabidhiwa jumla ya Hati Milki za Ardhi 389, hatua inayochangia...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
2,096,245
Posts
56,277,510
Back
Top Bottom