Hello Great thinkers 🫡
Mwanadamu ana baadhi ya mambo ambayo huwa yanatokea ndani yake bila yeye kuyapanga au kuyachagua kwa makusudi(Unakubaliana na mimi?)
Hayo tunaweza kuyaita Human Nature...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Sisi askari wastaafu tunaeleza haya kwa uchungu mkubwa sana kero na dhuluma inayotupata wastaafu kutoka kwa viongozi wetu.
Hivi karibuni kuna Viongozi walisema kwamba sisi tunaolalamika kwamba...
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la...
Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na...
Kidude chetu cha kuwekea umeme (LUKU) kimeharibika, hivyo tukaenda TANESCO kuomba msaada. Tukaambiwa kwamba tumekiharibu na kwamba gharama ya kukitengeneza ni Sh 150,000.
Sasa nashangaa, hivi...
Habari za jioni,
Rafiki yangu anataka kurudi Tanzania kutoka South Africa na watoto wake wawili. Kwa madarasa ya huko wote ni seniors wako grade 8 and 10.
Msaada kwa yafuatayo:
Nini azingatie...
Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya...
Kwasababu,
vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama...
Bagamoyo inaandaliwa kuwa kituo muhimu cha viwanda, biashara na ajira kupitia Bagamoyo Eco-Maritime City, huku Serikali ikilenga kutumia fursa za uchumi wa bahari kuimarisha uwekezaji, kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.