KUNA watu wamepewa kandarasi ya kuendeza propaganda na porojo za kuwa Waziri Mkuu sijui kapigwa picha akiwa kalala kitandani sijui blah blah .
KWANZA hawa wanaosema eti wana video zingine mbaya...
Naandika huu uzi kutokana na tukio linalotrend mtandandaoni kuwa mume amempiga risasi ya kichwa mke kisha kajisalimisha polisi wanavyosema hao wenza walikuwa na mgogoro wa mali demu alitaka...
Je, kuna mtu ana uhakika kama ni halisi? Vipi kama ile Connection ni Ai(Akili kinemba).?
Kama ni kweli, kwanini anakosa umakini vitani? Ataficha wapi sura yake?🙈🙈🙈
Tatu: kama kweli Polisi...
Leo ni miezi mitatu tangu nilipoamua kuacha betting.
Believe me, nimejifunza mengi sana kwenye safari hii. Betting ilinifanya nipoteze pesa, muda na vitu ambavyo nilipaswa kutumia kujijenga...
Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa...
Za ndani kabisa zinadai,
ukata wa fedha, kukosekana agenda muhimu na mazingira magumu ya kisiasa na kiuchumi vinatajwa kama sababu za kusogezwa mbele kwa mkutano mkuu huo hadi mwaka ujao.
Hii ni...
Mwanaume aliyetambulika kwa jina la Laurent Kweka anatuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Dar es...
Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kipo mkoani Arusha, kilikuwa chuo kizuri sana na kilishawahi kuwa ndani ya vyuo vikuu 10 Tanzania. Chuo kikuu hiki kimelea vyuo vikuu vishiriki ambavyo sahv ni vyuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.