Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi...
9 Reactions
115 Replies
932 Views
Marekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Vyombo...
29 Reactions
13K Replies
190K Views
Anonymous
KERO 
Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi...
2 Reactions
21 Replies
147 Views
Mchekeshaji maarufu kutoka Senegal na ambaye anaishi Italy ameepuka mtego wa wazungu Mwaka 2024 mwezi wa sita alifunga Harusi ya kiisilamu na mwadada , Wendy Thembelihle. Mwaka huu mke wake...
8 Reactions
20 Replies
298 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
162 Reactions
640K Replies
40M Views
Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four. Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa...
25 Reactions
222 Replies
2K Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
158 Reactions
131K Replies
8M Views
Msipoteze muda kusubiri ripoti ya mchongo ya tume ya Chade haitatoka maana wameshidwa kudanganya wakati ukweli upo wazi!
5 Reactions
14 Replies
134 Views
Kuteuliwa kwa huyu mama mwenye kila kashfa ambae alitakiwa kua jela bado mna mashaka kwamba Magufuli hakuzungukwa na chatu? Kuachiliwa kwa...
6 Reactions
1 Replies
70 Views
Mbio za kuendelea kuifukuzia Yanga katika nafasi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa Azam FC na Simba baada ya timu hizo kugawana pointi moja kila upande kutokana na matokeo ya...
4 Reactions
41 Replies
765 Views

FORUM STATS

Threads
2,049,871
Posts
55,195,885
Back
Top Bottom