Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.
Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa...
Je Gwajima amelambishwa asali?
Je Gwajima amepata vitisho ?
Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi no heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk?
Hatujamzoea hivi...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na...
Friends and Our Enemies,
Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".
Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili...
Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye...
Kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa...
Kutoka Maktaba: Alisema Dkt. Emmanueli Nchimbi, punde baada ya kutangazwa kuwa Katika Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo mwezi Januari, 2024
Naona alichokisema kimetimia! Msimamo ndio silaha...
Nakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli Emanuel Nchimbi amekuwa kwenye CCM kwa muda mrefu sana. Wengi tunamjua toka akiwa Umoja wa Vijana wa CCM na kwa kweli hakuwa mtu ambaye tulimfikiria hata kwa mbali...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Mambo ya leo ni mengi. Alichokifanya bwana Nchimbi kutangaza "kujiuzulu" umakamu wa rais ni zaidi ya uhaini. Nasema haya kwa sababu anuai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.