Mkuu Junius,
Zitto hajachelewa,bado ni kijana na nafasi bado ipo. Nina imani kampeni za 2015, yeye ndo atakuwa mwekiti wa chama chetu
Wale mafisadi (ccm) na vibaraka vyao wamekaa macho jujuu kutwa kucha wakisubiri kusikia Zitto kafanya hiki.... Mtasubiri sanaa Zitoo yupo kazini ana nia ya kuwatumikia wananchi...... Zito Hoyeeeeeeee... CHADEMA OYEEEEEEEE