Elections 2010 Zitto yuko wapi?

Unatafuta master plan ya campaign ya CHadema kawaambie waliokutuma kuendesha propaganda zako hapa hupati kitu wewe sio campaign meneja wa CHadema ukajua Zitto anafanya nini
 
Mapinduzi hayasongi kwa chadema bila zitto mpaka sasa hivi hajamsupport slaa

Kwanini anajitenga?

Hizo ni akili za akina Marope kusema mtaji wa CCM ni JK. Chama makini hakiyumbishwi na mwanachama yoyote hata kama ni mwenyekiti wake. Alikuwepo Dr. Amani W. Kaburu, CCM wakamnunua chama kikazidi kuwa ngangari na kule Kigoma akaibuka Zitto Zubeir Kabwe. CHADEMA itaendelea kuwa makini na soon and very soon itatawazwa kuwa chama tawala.
 
Zitto hana msimamo, uyu mtu anapaswa kuogopwa kama ukoma, hafai ktk ulingo wa siasa

Sikubaliani na wewe, Zito yuko Gado na hajajitenga,, why are you assuming things? Last week alikuwa na wenzake. Isitoshe hayakuhusu unajaribu kuchanganya watu.. Acha ufedhuli wewe... halafu aliyekutuma mwambie umeshtukiwa. Hili umefeli tafuta jingine... Nonsense!!!
 
zitto-na-jk.jpg

Zitto hana kitu wala hawezi kuathiri kura yangu kwa Dr. Slaa. Mwaka huu tunachagua mtu atuchagui chama!
 
Tuko pamoja mkuu, Zitto hasuburi kubebwa na chama mwenyewe anajiweza na anakibeba chama,ni wanasiasa wachache sana wenye kufanya jitihada binafsi kwa manufaa ya chama. HUYU NDIE RAISI WETU KUPITIA CHADEMA 2015.Kijana anaweza.

Duuh! kwa hiyo 2010 kikwete amalizie muda wake au tutampa Slaa awamu moja inatosha, Au ndo kwamba Slaa amekuwa Tingatinga?
 
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa

Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi
 
Ubora wa huja hutazamwa kwa vitu vingi: Mpangilio wa sentensi, silabi nk. Ngoja wana JF waseme!
 
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa

Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi

Malaria Sugu kabadili jina.
 
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa

Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi

huyu bwana akili zake anazijua yeye tuuu Zitto anahaki yakugombea tatizo liko wapi? na unataka Slaa aseme nini kwa hili?
au akamwambie S. Yahaya ili amtishie kama mnavyofanya ccm acha hizo bwana.
 
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa

Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa

Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi
1.Soma Katiba kuhusu suala hili, liko wazi. Au unataka tulazimishane na utaratibu wa kwamba ukishaonja miaka 5, lazima upate na mingine 5.

2. Atamke nini wakati anajua masharti ya Katiba? Zitto alisema hivyo akiwa antimiza haki yake ya Kikatiba.

3. Katika hili naamini humaanishi unachosema, hata wewe unajua nani kachoka. Pipoooooooooooooooooooz!!!!!!!!
 
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015 inazidi kummaliza Dr slaa
Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi

Acha kujidanganya wewe. Zitto yupo na anaendelea na shughuli za chama chake ipaswavyo. Pamoja na kuhakikisha kuwa anacoordinate kampeni za chama chake katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Rukwa lakini pia amekuwa akienda mikoa mingine kuwapigia kampeni wagombea mbalimbali wa chama chake. Anafanya hivyo sio tu kwa kushiriki katika mikutano yao lakini pia hata kuwasaidia kuchangisha kuweza kuwasaidia gharama za uchaguzi. Na pia amekuwa akishiriki kikamilifu vikao vyote muhimu vya chama chake vikiwemo vile vilivyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita na mwanzoni mwa wiki hii. Hivi sasa amerudi Jimboni kwa kampeni zake, za madiwani wao na wagombea wao wengine mikoa ya huko lakini pia ataenda mikoa mingine baada ya muda mchache.

Kwa wanaojidanganya kuwa Zitto anatofauti na Dr Slaa waendelee hivyohivyo, Zitto anajua nini maana ya uongozi na kamwe hawezi kugombana ama kutomsupport mgombea wa chama chake haswa kwa propaganda za wajinga wachache ambao Dr Slaa sio mmoja wao.
 
Back
Top Bottom