Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
hebu tupe taarifa vizuri tujiandae kupambana na police maana huu ni uonevu
Wewe uliyeleta habari tuelezee yote uliyosikia.
Zitto acha kamba, polisi hawawezi kuja tu wakaanza kukupiga mabomu na kukuwekea bastola kichwani mbele ya OCD, kuna mengi hujasema. Kulikuwa na tafrani la halaiki na matokeo. Taarifa kama hizo ziwekwe huko huko Facebook kwa ambao hawajui nini kinaendelea Kigoma, kama wanajua ilipo.Zitto Kabwe asubuhi nilikuwa kwa msimamizi wa uchaguzi kuchukua matokeo ya Rais. nikajulishwa kuwa eneo la Ujiji kuna fujo, nikaenda kuzungumza na wananchi na kisha viongozi ili kujadili hali ya matokeo ya Kigoma mjini. baada ya dakika chache, wananchi wakiwa wamesambaa, polisi walivamia ofisi yetu na kupiga mabomu mengi sana. pia nimetishiwa kuuwawa na afisa wa polisi kwa kuninyooshea bastola mbele ya OCD wa kigoma.
Nadhani wewe una matatizo kwani wewe ulikuwepo? kwa jinsi ulivyo na roho kavu hata huwezi kutoa pole kwake bali una kejeli kilichompata. Nadhani si vizuri kuelimishana na mtu ambaye ana roho ya kutu kama wewe.Zitto acha kamba, polisi hawawezi kuja tu wakaanza kukupiga mabomu na kukuwekea bastola kichwani mbele ya OCD, kuna mengi hujasema. Kulikuwa na tafrani la halaiki na matokeo. Taarifa kama hizo ziwekwe huko huko Facebook kwa ambao hawajui nini kinaendelea Kigoma, kama wanajua ilipo.