Elections 2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

Kwani Tanzania nasisi tuna Police jamani? Tabia zao na mgambo wenye kupata mafunzo ya mitaani hata sioni tofauti. Na Mungu acha aendelee kuwalaani wasijitambue kwa kuendelea kusota kimaisha na kulala kwenye mazizi.
 
Ametaka mwenyewe yeye nani kama analeta vurugu polisi wanajua kazi yao.
namshauri asitetea mtu alie shindwa wa nini?
:hippie:

Soda, why say so. Be wise my dear. If you have something to say, prove it by beeing realistic, pragmatic and considerate. Kuuliza si ujinga, kwani ni Mungu tu asiyeweza kukosolewa. Mara ngapi tume inaumbuka, Zitto is right, Police is Wrong.
 
Ametaka mwenyewe yeye nani kama analeta vurugu polisi wanajua kazi yao.
namshauri asitetea mtu alie shindwa wa nini?
:hippie:

Kijana wa November 2010. Sawa bwana.
 
Ametaka mwenyewe yeye nani kama analeta vurugu polisi wanajua kazi yao.
namshauri asitetea mtu alie shindwa wa nini?
:hippie:

Akili yako haifanyi kazi vizuri ndo maana umjiunga leo! kaone! Tutamlilia Mungu wa Ibrahim mpaka kieleweke! Inakuwaje ssm wanachakachua matokeo kama hawana akili nzuri jamani!! Eee Mungu hebu uwachukue watu hawa wanaotufanyia haya hata kama atakuwa Kikwete na iwe hivyo au Makamba na iwe hivyo. Inakuwaje Makamba anaenda kushinikiza watu watangaze matokeo ambayo siyo ya wananchi? Mbowe naye akiingilia si ndo mwanzo wa vita huo? Oneni Haya watu wa CCM
 
this is the site 4 great thinkers and ideas 4 our countrys change ma dear soda. toa hoja si vioja.
 
Zitto anapelekwa hospitali, amejeruhiwa na mabomu Kigoma Mjini wakitaka kura za Serukamba zirudiwe, hali nako ni tete
 
ni jambo lakutia fadhaa zana, ni wapuzi hawa,
wanadhani raia wa karne hii wa TZ ni sawa na yule wa mwaka 47.
kama Raia wakiamua kuasi, hakuna wakuzuia, watu wapo zaidi ya 35m, polisi na wanajeshi woote jumla laki 3, hawawezi, bunduki na mabomu hayaleti tija , hayaleti amani.
wapuuzi kabisa hawa
 
Omar Ilyas (Fisadi la ccm anayejifanya kuwa rafiki ya Zitto) yupo wapi?

Umenifurahisha sana, ni kweli kabisa Omar Ilyas ni mnafiki mkubwa... Opportunist ambaye hana mbele wala nyuma, yaani kila kukicha anazizi kushangaza watu maana haeleweki. nadhani anamuaombukiza Zitu undumila kuwili wake
 
Hoo Mala Ccm vile mala Ccm ivi, Tumechoka kunyanyaswa na Mafisad:A S angry:, Tunaitaji Mapinduzi Wachawi Wote Out................Tunaitaji One Word One Tanzania
 
KWENYEVIDEO CLIP MOJA PALE KAWE BAADA YA MDEE KUTANGAZWA MSHINDI,KUNA MWANA ALIKUWA ANAFUTA GARI LA HALIMA NA NGUO YA CCM,NAZANI NI MAVAZI MAZURI YA KUFANYIA USAFI,KUFUTIA VIOO KUCHAMBIA WALEVI NA KUDEKIA. :smile-big:
 
Omarlyas ni mkereketwa wa dini ya kiislamu tu wala hana lolote zaidi ya hapo. Nina mashaka kama kwenda shule kulimsaidia au alikuwa desa tu!
 
Ingekuwa Arusha hao mapolisi wangefanywa HAMNA!

Hata mwanza inge kuwa hivyo hivyo jana police walisalimu amri kwa raia maana wakija huku wanasikia mar kule wakienda huko wanasikia tena upande wa pili mabomo ya machozi zaidi ya 200 yali tupwa laki wapi.

Kabwe(Mkurugenzi wa jiji Mwanza) ilibi awambie IKULU liwalo na liwe anatangaza hata kama kibarua kipoteee na wakati ule Masha na Diallo hoi wala hawakuwepo Manispaa ni wagombea tu wachadema walikuwepo.

Masha ni bora ungebaki kwa ule msimamo wako kuwa hukutaka kugombea tena jimbo la nyamagana sasa IKULU & Ridhwani walikuponza umeona sasa

Anthony Diallo Nyalla - Jipange sasa ku Renovate SAHARA INVESTMENT ili tupate tena yale majiko yetu ya zamani usije rudi tena huko marampaka kijijini watakukimbiza.

 
From Facebook; Hali ni mbaya, polisi na wamemkamata Zitto wamemzuia kwenda hospitali na hali yake si nzuri
 
Kwa mpango huo wa kumjeruhi kamanda Zito wategemee hasira zaidi za wananchi yani hapo hata wale wa Kasulu na Kibondo wote watajaa hapo mjini tuone kama hao Polisi watafanya nini...

Hivi hii dhana ya kulazimisha kutawala watu wasiokutaka inatupeleka wapi??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom