Elections 2010 Zitto ajeruhiwa na Polisi, apelekwa Hospitali

Hao polisi wana matatizo ya akili

pole sana mhe. Zitto
nahisi wana hasira na chama
 
Haya ni maneno ya Zitto mwenyewe kwenye fb page yake:
Zitto Kabwe asubuhi nilikuwa kwa msimamizi wa uchaguzi kuchukua matokeo ya Rais. nikajulishwa kuwa eneo la Ujiji kuna fujo, nikaenda kuzungumza na wananchi na kisha viongozi ili kujadili hali ya matokeo ya Kigoma mjini. baada ya dakika chache, wananchi wakiwa wamesambaa, polisi walivamia ofisi yetu na kupiga mabomu mengi sana. pia nimetishiwa kuuwawa na afisa wa polisi kwa kuninyooshea bastola mbele ya OCD wa kigoma.
 
Wewe uliyeleta habari tuelezee yote uliyosikia.

Zitto Kabwe: Mdogo wangu ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie. This police brutality must end!
about an hour ago · 2 people
 
nimepata taarifa kwa ufupi tu kwamba mh.zito kabwe amepigwa mabomu ya machozi akiwa na wafuasi wa chadema kigoma.kwa sasa yupo hospitali kwa uchunguzi na matibabu.mwenye data zaidi atujulishe.
 
Hii nanukuu kutoka kwenye wall yake ya FaceBook

Zitto Kabwe: Mdogo wangu ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie. This police brutality must end!
about an hour ago · 2 people
 
Huu ni ujumbe wa Zitto katika twitter:

  • went to chadema office in Ujiji to discuss the way forward on kigoma mjini results. Police invaded our office and beat us 2 hours ago
  • Left central police station and at hospital now. Doctor says I am ok. 3 hours ago
Hili si jambo la kupuuza hata kidogo lazima kufuatilia kwani polisi Kigoma wametumia nguvu kutaka kupora ushindi.
 
zito maafande wako moto na wewe mana we ni kibaraka wa ccm, maafande waliahidiwa na slaa maisha bora, ccm na vibaraka nyokoooo
 
Zitto Kabwe asubuhi nilikuwa kwa msimamizi wa uchaguzi kuchukua matokeo ya Rais. nikajulishwa kuwa eneo la Ujiji kuna fujo, nikaenda kuzungumza na wananchi na kisha viongozi ili kujadili hali ya matokeo ya Kigoma mjini. baada ya dakika chache, wananchi wakiwa wamesambaa, polisi walivamia ofisi yetu na kupiga mabomu mengi sana. pia nimetishiwa kuuwawa na afisa wa polisi kwa kuninyooshea bastola mbele ya OCD wa kigoma.
Zitto acha kamba, polisi hawawezi kuja tu wakaanza kukupiga mabomu na kukuwekea bastola kichwani mbele ya OCD, kuna mengi hujasema. Kulikuwa na tafrani la halaiki na matokeo. Taarifa kama hizo ziwekwe huko huko Facebook kwa ambao hawajui nini kinaendelea Kigoma, kama wanajua ilipo.
 
Tusichezeane akili wana Jf, issue ni serious, mwenye data zaidi atuhabarishe. Pole sana mhe. Zitto, ila kama utaweza kutueleza kwa undani zaidi mwenendo na kiini hasa cha tukio hilo la kinyanyasaji lilikuwaje ni bora zaidi. :doh:
 
Zitto acha kamba, polisi hawawezi kuja tu wakaanza kukupiga mabomu na kukuwekea bastola kichwani mbele ya OCD, kuna mengi hujasema. Kulikuwa na tafrani la halaiki na matokeo. Taarifa kama hizo ziwekwe huko huko Facebook kwa ambao hawajui nini kinaendelea Kigoma, kama wanajua ilipo.
Nadhani wewe una matatizo kwani wewe ulikuwepo? kwa jinsi ulivyo na roho kavu hata huwezi kutoa pole kwake bali una kejeli kilichompata. Nadhani si vizuri kuelimishana na mtu ambaye ana roho ya kutu kama wewe.
 
Maisha ya watu jamani.
ninyi ccm mkidhani mtatumia dola kuua demokrasia mmenoa.
UMKHOTO WE SIZWE
 
Jamani...kwa nini lakini? Pole Zitto . whatever the case ushindi ni wako tu na sie tunajua. bloody police force stinking of corruption......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom