William Malecela - Mbunge Mtarajiwa Afrika Mashariki

Status
Not open for further replies.
malecela,william

acha tu aende anastahili kwa nafasi hiyo kupitia katiba yetu ya tanzania inatoa haki sawa kwa mtu yeyote yule,awe mtoto wa rais ama mkulima ana haki ya kuchagua ama kuchaguliwa
Haya mambo ya katiba inaruhusu ndiyo yanayotufanya tupate viongozi kama kina Lusinde, kama ni kuruhusiwa na katiba ni watanzania wote tunaruhusiwa, lakini tujiulize, je wote tunafaa kuwa viongozi?
 
- Katiba pia inaruhusu kupiga kura ambayo ndio njia pekee kwa mwananchi kumchagua ya nani anafaa na nani hafai!, kuliko kulalamika.

William.
 
Hata ubunge wa EALA? Nilidhani huu hufanyika ndani ya bunge lenye CCM majority........meaning nomination is just an election in itself!
 
- Katiba pia inaruhusu kupiga kura ambayo ndio njia pekee kwa mwananchi kumchagua ya nani anafaa na nani hafai!, kuliko kulalamika.

William.
Kama ni katiba kuruhusu hata Lusinde anaruhusiwa na katiba, hatutaki watu wa aina hiyo tunataka viongozi wanaojulikana kwa uchapakazi wao, kwani wewe umeongoza wapi hadi unataka ubunge wa AM au unataka kujifunzia uongozi bungeni? hatutaki watu wanaosingizia katiba ku justify kuchaguliwa kwao hata kama hawana ujuzi.

Unaweza kutueleza ujuzi wako hata wa kuongoza watu 20.
 
W.J.M atupishe... hafai kutuwakilisha watanzania E.A.

Kwanza anaishi na amekulia nje so hajui tz na shida zake wakati tuna wabongo wamekulia humuhumu na wanafahamu shida za wa-tz vizuri... aende akagombee marekani!

Inasemekana kuwa alikuwa anawapa mapokezi mazuri makada wa CCM ndo maana wanataka kulipa fazila kwa kumpa ubunge wa E.A
 
- Ahsante sana mkuu, FACTS ni nimekulia Tanzania, nimezaliwa Tukuyu, shule ya msingi nimesoma Jamhuri Mnazi Mmoja, Sekondari nimesoma Kwiro, Mahenge /morogoro, Chuo nimesoma Kidatu, na DMTU DSM, JKT nimeenda Oljoro, nikashiriki kufufua kiwanda cha Kagera Sugar baadaya kubomolewa na Idd Amin, nimefanya field kwenye meli za MV. Bukoba, Mwanza na MV, Liemba na Mwongozo, Kigoma. Nikaenda kusoma Belgium, nikafanya kazi huko, baadaye nikarudi Tanzania na kufanya kazi Shirika la Tanzania na China Sinotaship, baadaye nikaenda US nikasoma na kufanya kazi huko, mpaka niliporudi nyumbani na sasa ninagombea ubunge.

- Ninaamini kwamba mwananchi yoyote mwenye akili timamu akisoma maelezo yangu ataamua kuhusu ukweli na uongo wa hoja zako, ingawa siamini kwamba umezitoa kwa nia mbaya sometimes ni misguidance na misinformation tu uwe na siku njema sana!

William.
 
Nakumbuka mwaka jana tulijadiliana sana na Willy kuwa wao wenye majina ambayo Baba is somebody not no body hata kama wanavitu kwenye vichwa kwa zama ambazo wansiasa wa Tanzania [baba zao] wamelifikisha Taifa hapa lilipo wanakazi sana kutengeneza cv zao kwa umma wa kawaida kukubali.Kwa sasa tunakoenda Watanzania wanataka vijana aina ya Joshua Nassari kasoma hapa hapa nchini na wengineo CDM na baadhi CCM [Nassari,Zitto,Mnyika,Nape,Lissu na hata Sugu na elimu yake Sekondari lakini analijua vumbi na mishemishe za kibongo na kama alienda majuu basi alienda kusaka maisha].

Kwa jinsi baba alivyojenga jina maalufu kama BULLDOZER na hakika huko ndani ya CCM utaburuza tu kwa kura,kwa kuwa style ya fadhira ni aina ya mfumo wa kuendesha mambo basi tegemea kuvuta kura nyingi na kwa asilimia nyingi walio wengi humo walipitia mikononi kwa baba yako hivyo na wao hata jina lako tayari wanamafua bado kupiga chafya.

Kwa kuwa kura za CCM unazo na hakika Ubunge ni wako,ila kama ni ule ubunge wa kupigiwa kura za wananchi [Sioi Sumari] hapo kidogo ningekuwa na mashaka na wewe ingawa wewe ndio ungekuwa Sioi kwenye kile kimbembe na daddy yupo hakika pangechanika shuka vipande vipande kwa kuwa pamoja na kuwa baba yako is not rich as much as those other fellow CCM members lakini Mzee yule ni influential sana ndani ya CCM na hata kwenye mfumo na ndio maana aliitwa katapila [Bulldozer] japo enzi ile sio sasa lakini Chadema kama ungekuwa wewe Arumeru kwa sarakasi za baba yako wangechomoka kwa kukuzidi kura 5 au 20.

Kwa ndani ya CCM,mwendo mdundo,ukizingatia mama mdogo nae yupo anajua fitna za ccm atakupa support,ilo liko wazi manake wabongo nao walipofikishwa ni IT DOESN'T MATTER WHAT MUCH YOU KNOW ITS WHO YOU KNOW?Ila kwa sasa mkakati wa shughuri ya CDM ni kuludisha viongozi aina ya watu wanaojua mambo ya umma na uwezo wa kuyatatu matatizo hayo wanao na si kuwa wanajuana na nani kuwafikisha kupata madaraka hayo.Likija swala la kuja huku kwenye umma kupambana na CDM jipange jipange sio mchezo wako safi na njema na wao sikuhizi wamejua maarifa mtu mzima aliyokuwa anayapiga basi wanabana kona zote,wanaminya mpaka kitu kinakuwa hakieleweki wanacheza style gani,manake usawa huo hapo wajombaa wanakaba mpaka wale machalii wa kitaani wanafundishwa kuwa wachungu wa kulinda kura,ukitaka kujua mengi kuhusu CDM muulize Nape anawajua mziki wao.Sema wazee hawamsikilizi,najua anawashauri sana kwenye vikao vyao vya ndani lakini nafiklia uwa wanajiaminisha na zile taarifa za kupikwa na sio taarifa za kijana wao ambae yuko field [Mitaani] ila kwa hii ya Sioi watajua lugha ya CDM kidogo,karibu umsaidie Nape ukiwa field na sio kwenye Bata.

Ushauri:

Nimeona Josephine amekuchapa na swali juu kuhusu page ya fece book habari za "whose intown"kweli Willy if you wanna go your daddy's step please achana na habari za Rose Garden with that cosmetic life style,ebu acha kabisa maisha hayo ya show off,ebu kaa na watu watakao kupa maisha halisi ya watanzania,ambao ijumaa jioni wanaweza wakakwambia ebu Willy tule basi twende zetu Dom tukaone life la wanamtera kisha tuone tutawasupport vipi.

Sikatazi bata manake uwezi kukimbia ama kuluka ujana [18-45] lakini uwe ujana wa maisha sahihi sio maisha ambayo ni mashindano ya who is driving the best baby [usichukue maana yako namaanisha gari] in town.Wakati akili yako inataka kukufanya uwe kiongozi wa watu mpaka wanaokula mlo mmoja kwa siku halafu wewe kiongozi mtalajiwa unahang-around na aina hiyo ya cosmetic life style people unategemea utajua impact ya kumkwamua mtoto wa mtu anaekula mlo mmoja kwa siku,utajua nini kumuhusu wakati waliokuzunguka wanajivuna na maisha ya rangi na poda.Ndio maana usione CCM inapiga maktaimu nalo ni tatizo la viongzoi wetu walio wengi wamekata kujua maisha ya kawaida ya watanzania.

CDM wanalijua hilo,ni nadra sana kuwakuta young leaders wao wana hang -around na aina hiyo ya watu all the time.Wapo watu class normal class but with big think mind.Wenye fikra za kuibadilisha Tanzania kuwa New Yorka hata kama sie yeye bali mwanzo wa kuwa na hiiyo pandikizi ya dream itamea kwa wengine.I was born in Silver Spoon like you,lakini kuna kada fulani ya baadhi ya watu wamekuwa viongozi wakakuta hizo Silver spoon leo hii hawataki kabisa kujua maisha ya watu wa kawaida wasio jua kula kwa kutumia kijiko na tena kama ni mlo basi mmoja na hawataki wawaboleshee maisha yao kuwa iko siku moja watoto wao wakikua nao wajisikie kuzaliwa with a Silver spoon.
 
Leo wana jf wamenifurahisha mno.....
kitu kimoja ni kwamba enzi za watu kuogopa viongozi au majina ya viongozi zimekufa kabisa
watu wanamshambulia William bila kujali yeye ni nani hapa jf wala nchini...saafi saana..

nikija kwenye mada Wiliam ana kitu kimoja ambacho nafikiri
kwa wana jf ni muhimu....yuko engaging....yupo reachable...na haogopi kukosolewa..

anaweza kuwa hafai lakini angalau kwa kutumia JF na FACEBOOK unaweza kumfata na kuwakilisha mawazo yako

hii kitu ni muhimu mno kwa sasa kiongozi awe accessible na watu.....

katika wagombea woote wa ubunge wa Afrika Mashariki....ni William peke yake tuna 'uhuru wa kuongea nae na kumshambulia' tunavyotaka.......hii inaweza hata yeye kumsaidia 'kuwa kiongozi bora' akitaka...

hao wengine hatuwazungumzi kwa sababu hatuwajui kabisa....wanaweza kuwa ni wabovu kuliko William

lakini hatuna namna ya kuwajadli...........
 
- SAwa sawa mkuu tupo pamoja, ingawa sifai kulinganisha na Kiongozi gani anayefaa? Otherwise tupo wote hapa na FB sijawahi kuwakimbia wananchi ninaotaka kuwaongoza na sijawahi kuogopa kusema wazi hapa kwamba mimi ukinikata mwili wangu umejaa damu ya CCM, UBARIKIWE MKUU!

Umeanza vizuri nikafikiri una point, kuwa Facebook na JF sio moja ya sifa zinazotakiwa kuchaguliwa you are missing the point somewhere.
 
Mkulu si yuko reachable na yeye?
Ana namba ngapi alizotoa kwa wanchi kwa ajili ya kumpata any time?

Hiyo pekee inatosha kuwa mwakilishi??
Siamini hilo.

Leo wana jf wamenifurahisha mno.....
kitu kimoja ni kwamba enzi za watu kuogopa viongozi au majina ya viongozi zimekufa kabisa
watu wanamshambulia William bila kujali yeye ni nani hapa jf wala nchini...saafi saana..

nikija kwenye mada Wiliam ana kitu kimoja ambacho nafikiri
kwa wana jf ni muhimu....yuko engaging....yupo reachable...na haogopi kukosolewa..

anaweza kuwa hafai lakini angalau kwa kutumia JF na FACEBOOK unaweza kumfata na kuwakilisha mawazo yako

hii kitu ni muhimu mno kwa sasa kiongozi awe accessible na watu.....

katika wagombea woote wa ubunge wa Afrika Mashariki....ni William peke yake tuna 'uhuru wa kuongea nae na kumshambulia' tunavyotaka.......hii inaweza hata yeye kumsaidia 'kuwa kiongozi bora' akitaka...

hao wengine hatuwazungumzi kwa sababu hatuwajui kabisa....wanaweza kuwa ni wabovu kuliko William

lakini hatuna namna ya kuwajadli...........
 
- SAwa sawa mkuu tupo pamoja, ingawa sifai kulinganisha na Kiongozi gani anayefaa? Otherwise tupo wote hapa na FB sijawahi kuwakimbia wananchi ninaotaka kuwaongoza na sijawahi kuogopa kusema wazi hapa kwamba mimi ukinikata mwili wangu umejaa damu ya CCM, UBARIKIWE MKUU!

William.
Nadhani ndugu William Point kubwa ya The Boss ni kwamba tunaweza kuwa sahihi kwa kukusoa kwa sababu tupo karibu na wewe, lakini ingekuwa mtu kama yule Mbuge wako Lusinde angekuwapo hapa JF siku nyingi labda wana JF wasingemshangaa kwa yale matusi aliyokuwa anayaporomosha Arumeru yule hafai hata kuwa Mjumbe wa nyumba 10, hapa ndipo linapokuja tatizo kwamba wana CCM walimuhukumu John Malecela kwa sababu wanamfahamu lakini hawakujuwa kitu kimoja tu kwamba kile Kibajaj ni janga la Taifa, ni heri hata kama mzee Malecela hakufanya la maana bungeni lakini ingetosha tu wabaki na mbunge anayeheshika na jamii na sio kama sasa inaonekana kama Wananchi wa Mtera ni mazuzu tu.
 
W.J. Malechela ni zero..
Ndo wale wale na vitambi vyao kwa vile tu
wamekaa njee ya nchi basi wanajiona wao ndo wao funny enough watapewa kiti cha mbele ..
baadaye wanajitundikia PHD fake na kujiita DR W.J Malechele . Ushauri wangu wa kwanza punguza kitambi bado u mdogo utajiletea matatizo ya kiafya.

Ila kweli, huyu jamaa ni bingwa wa kitambi. Wassira type!
 
- Ahsante sana mkuu, FACTS ni nimekulia Tanzania, nimezaliwa Tukuyu, shule ya msingi nimesoma Jamhuri Mnazi Mmoja, Sekondari nimesoma Kwiro, Mahenge /morogoro, Chuo nimesoma Kidatu, na DMTU DSM, JKT nimeenda Oljoro, nikashiriki kufufua kiwanda cha Kagera Sugar baadaya kubomolewa na Idd Amin, nimefanya field kwenye meli za MV. Bukoba, Mwanza na MV, Liemba na Mwongozo, Kigoma. Nikaenda kusoma Belgium, nikafanya kazi huko, baadaye nikarudi Tanzania na kufanya kazi Shirika la Tanzania na China Sinotaship, baadaye nikaenda US nikasoma na kufanya kazi huko, mpaka niliporudi nyumbani na sasa ninagombea ubunge.

- Ninaamini kwamba mwananchi yoyote mwenye akili timamu akisoma maelezo yangu ataamua kuhusu ukweli na uongo wa hoja zako, ingawa siamini kwamba umezitoa kwa nia mbaya sometimes ni misguidance na misinformation tu uwe na siku njema sana!

William.

W.J.M

hujataja mda ambao ulispend kwa kila kituo... siamini kwa umri ulionao na sehem lukuki ulizozitaja kuwa ni kweli ulifanya kazi au ulikuwa unapita tu...?

Na pia, kama kweli wewe ni unaitakia mema nchi hii na si kujinufaifa kwa kupata heshima ya vyeo kwanini usianzie ngazi ya chini kama udiwani au ubunge kule kwenu ili watu wakupime kwa matunda yako? Badala yake unakimbilia nafasi nzito nzito zisizo na mshike mshike kama huko E.A?

Bado naamini kwamba kuna SIRI NZITO ndani yake... unaamini utapewa huo ubunge na marafiki zako uliokuwa unawapokea wanapokuja huko nchi za nje, na hao ni makada wa CCM.

Em nijibu vizuri bila jazba labda ntakuelewa.

Samito.
 
- SAwa sawa mkuu tupo pamoja, ingawa sifai kulinganisha na Kiongozi gani anayefaa? Otherwise tupo wote hapa na FB sijawahi kuwakimbia wananchi ninaotaka kuwaongoza na sijawahi kuogopa kusema wazi hapa kwamba mimi ukinikata mwili wangu umejaa damu ya CCM, UBARIKIWE MKUU!

William.
Nahiyo CCM ndio hatuitaki hata kuisikia mwaga damu ya CCM weka ya CDM otherwise kula itakuwa kwako na kura CDM
 
Umeanza vizuri nikafikiri una point, kuwa Facebook na JF sio moja ya sifa zinazotakiwa kuchaguliwa you are missing the point somewhere.

sijasema hizo ndo sifa za kuchaguliwa
soma vizuri
nimesema tazama wagombea woote wa hiyo position
yeye yuko more accessible.....sijasema hiyo ni sifa ya kuchaguliwa
nimesema kuwa accessible kunaweza kumsaidia hata yeye
regardless achaguliwe or not
 
Futa kwanza hayo maneno kwenye kidole
ndo uulize hilo swali, japo ni swali zuri lakini hapa unaonekana tu kama
hayo maandishi ya kwenye kidole.

Nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu wamepita kwenye mchujo wa kwanza wa CCM katika kupata mwakilishi wao kwenye Bunge letu la EA na mmoja wao ni huyu W.J. Malechela, swali langu hivi huyu mtu ni kweli anastahili japo hata kugombea? Au ni kweli ndo walewale wanaotumia kofia za wazee wao kutaka kuteka akili za vilaza wengi tuliopo Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom