William Malecela - Mbunge Mtarajiwa Afrika Mashariki

Status
Not open for further replies.
A very impressive CV and a good template too....next time na mimi ntatumia hii template kuombea kazi......who needs dates and places in a CV?

You are extremely right for short minded like you it is on point am encouraging your effort to go further than this you might won
 
Huu utawala unaowekwa na magamba kama wa kifalme soon unakwisha ,umejonea mwenyewe Arumeru,bab kafa mtoto anataka achukue kiti.

W. Malecella ana mikogo mingi sana haswa kwenye mitandao ya kijamii. Ila sizani kama kuna mtu anjua uwezo wake mathalani amekaa nje takribani miaka 30,amerudi hana miezi miwili.Achilia mbali na vigezo ,sizani kama ni sahihi kumpa mtu cheo kikubwa hivyo ili hali hajui mahitaji na mazingira ya watanzania kwa sasa .Matatizo anayoyajua yeye kuhusu watanzania ni kupitia media ,akiambiwa kuna watu wanakosa maji safi na salama ,watoto wanakaa chini hawana madawati,mahosipitailini hakuna dawa ,mazao ya wakulima yanakosa soko kutokana na miundombinu mibovu hawezi toa ufumbuzi kutokan na uzoefu ataanza kutafuta madafutari. Huu ni uchu wa madaraka kwa hizi familia za wana CCM .Tunatakiwa tuungane tuupinge kwa nguvu zote.

Ni kama Mzee Malecella amemwambia mtoto wake rudi nyumbani kutoka huko ughaibuni ,watanzania bado wamelala kwa hiyo ukija nakupa ubunge wa EAC .

Tuamke Watanzania
 
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu wamepita kwenye mchujo wa kwanza wa CCM katika kupata mwakilishi wao kwenye Bunge letu la EA na mmoja wao ni huyu W.J. Malechela, swali langu hivi huyu mtu ni kweli anastahili japo hata kugombea? Au ni kweli ndo walewale wanaotumia kofia za wazee wao kutaka kuteka akili za vilaza wengi tuliopo Tanzania?

wewe acha majungu...wewe ni nani kusema fulani anastahili na mwingine hastahili...

ungegombea wewe
 
0004.JPG

duh!namuona Kinega Sugu anakamua mistari..naimani ni Arumeru hapo.
 
Msipende kujificha kwenye katiba ilihali mnajua inamapungufu, na ndio maana tuko hapa kuhakiki ki nguvu ya Umma zaidi

You are extremely right for short minded like you it is on point am encouraging your effort to go further than this you might won

mlishampa yule dikteta wenu mlichoahidi? nawauliza ninyi akina monica Lewisky naona clinton wenu anaendelea na misimamo na spinning za kutisha huku JF.Mzee wa kujitoa mhanga alivyojibizana na nderingosha hapa





user-offline.png
nderingosha

Today 17:19
#143
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 20th March 2011
Posts : 330
Rep Power : 1292
Likes Received204
Likes Given28



icon1.png
Re: JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!


@Ben: I don't do politics (but i follow political issues in the country)and i have read your posts insisting on party ideologies etc etc...and i hope every party in this world has its own foreign policy agenda(including CHADEMA-where you belong)....that said, this is my first time to see one party's member campaigning for another different party's member for a political post...

I think this is the first of its kind i see in TZ...where we have multy party system....and worse enough..and very sad to me..this campaign is coming from one of the CHADEMA leaders......This sad reality speaks volume about you really......Let me ask you a very simple question....taking an example of USA...have you ever heard of a democratic party member(let alone leader) campaigning for a republican party member for any political post????...

And you call yourself a future CHADEMA political leader!!!!with no any standing of yourself!!!!...To me, i would be OK seeing you coming with your always long and boring narrations when it came to campaigning for your CHADEMA candidate....By the way...the people you are campaigning for here will always represent the wishes from the status quo......meaning that you are here campaigning for the status quo........do you get this!!!!!!!

My last take on you:
Time for you to stop the hypocrisy thing my brother.....i would advice the CHADEMA leaders to take a very close eye on your future political ambitions at the party.....this is just a friendly advice(as i'm not a member of any party in TZ).....


Ona huyu dikteta wenu alivyojibu kwa spinning na propaganda mzee wa hoja za dharura na kuchanganya watu.ben ni mtata sana.nilishanga ile thread nyingine kwa msukumo wa ny.e.g.e zenu mkaanza kunishambulia


user-offline.png
Ben

Today 18:06
#160
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 18th January 2007
Posts : 3,960
Rep Power : 1775
Likes Received1176
Likes Given2471



Nderingosha,

Calm down sir/madame !

Kanuni za uchaguzi huu ni kwamba upinzani kuna nafasi moja na CCM wana nafasi 8. Kwa hiyo CHADEMA haishindani na CCM kupigania hizo nafasi nane and vice versa is true.(tafadhali kabla hujamwaga hizo rhetorics rejea kanuni za uchaguzi huu)

Ili mgombea wa chadema atakayependekezwa na akifanikiwa akaptishwa na bunge awe na uwezo wa kupenyeza ajenda zetu katika kuipigania Tanzania EAC basi ni lazima afanye kazi na wabunge competent kutoka chama tawala ambao ni liberal na wenye mtazamo mpana kuhusu maslahi ya Taifa/walio tayari kumuona kama mwakilishi wa Tanzania na sio mwakilishi wa Chadema.Kwa wale wanaonifahamu wanajua kabisa mimi nina allergy na status quo. Kwa maslahi mapana ya taifa letu na kwa uzalendo wangu sioni kizuizi cha kunizuia kuwakumbusha wana CCM safari hii kutuchagulia watu wazuri against their old tradition ya kuteua watu kwa maslahi yao na chama chao tu.This is a very big issue kwa ajili ya Taifa na EAC kwa ujumla.Wtakuwa wabunge wa Tanzani (CCM& Opposition) Vs wabunge wa Kenya (ODM,PNU etc) VS wabunge wa Uganda (NRM &FDC,and other opposition parties) vs Wabunge wa Burundi (CNDD-FDD and the like).So tuangalie competence ya wabunge wetu.Ningekushauri usome mkataba wa EAC,usome muongozo wa uchaguzi kabla hujaleta siasa za CCM na chadema katika hili

Pia,if you find my post long and boring in narrating issues just skip it.Just make your decision democratically(right)

Oh, USA? ofcourse huko tulikoiga demokrasia huwa wanafanya hivyo.Colin Powel waziri wa mambo ya nje wa zamani wa US (Mtu wa pili mwenye nguvu katika itifaki ya America baada ya Rais) ambaye alikuwa mwanachama wa Republican alimu-endorse Barack Obama (democrats) against John Maccain(Republican candidate)

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,kwa kuwa chadema ni chama kinachojali maslahi ya taifa kwanza hakikujikita kwenye unazi wa vyama na kuwaambia wanakyela wamchague Mwakyembe kwa masharti ambayo tuliwapa.Je chadema tulikuwa hypocrytes?

Nderingosha,I will continue to place national interest above partisan politics for it is not about Ben Sanane or nderingosha as an individual it is about Tanzania in the collective. It is not only about the present it is also very clearly, about our future too.

I want to call on all those who may continue to view issues only from the prisms of partisan politics to take a break. Election campaigns domestically are over. In all the areas concerning our position in EAC we are suppose to press for reforms, we have to in regardless of party, ideology or other interest be assembled and continue to do. We need Tanzanians,intellectuals and patriots of an outstanding pedigree to carry out assignments in our nations interest. We must reward and call to service excellence and patriotism at all times.
 
Ukiona njigi utadhani njege na ukiona njege utadhani njigi(Hana tofauti na wabovu wengine walioko CCM).Hana uwezo niliotarajia kwa msomi na mtu eliyekuwa nje ya nchi miaka yote hiyo hasa baada ya kusikiliza mahojiano yake.
Nilichojifunza kwake ni mtu wa majigambo na majisifu ila la maana hakuna hapo.Hata kwa Mtera kumuondoa Lusinde bado hatoshi pale kama ilivyo kwa Lusinde.
 
Mtera inatakuwa kuongeza nguvu ya CHADEMA ili mpiganaji wa CHADEMA akamtoe huyu mvuta bangi na mtukanaji Lusinde

Mkuu kwa Geographia ya Mtera pamoja na Nature ya umasikini wa watu wake pasipo kusahau SIASA za hoja za chadema, nathubutu kusema MTERA kwa CHADEMA bado sana.
 
Mimi nataka huyu William akamtoe yule mhuni anayetukana hovyo wa mtera.

jamaa naona anamuogopa kibajaji kwa sababu hata kabla ya kutukana alisema ataenda kugombea dodoma mjini,
si mnajua dodoma ngome ya magamba!
 
huyu kijana nilimuuliza kule kwenye face book na bado hajanijibu

aliandika nimekaa kichama zaidi, na hapa ameandikia kuwa ukichana mkono wake una damu ya ccm(huu ni ujinga fulani ambao kibailojia hauwezekani lakini sijui nani aliuanzisha hapa nchini), angalu mandela aliwahi kusema akifa kitu cha kwanza atazisaka ofisi za ANC mahali popote zilipo huko akhera ajiandikishe. sasa huyu aliekaa kichama zaidi huko EA anaendesha kuwakilisha taifa au chama?

na je atakuwa anatuwakilisha EALA akitokea new york?
 
Wana JF sometimes kweli tuwe great thinkers Hey Suzie!!!!! umeleta mada nzuri,lakini naona baadhi humu wanakuwa na vitu ambavyo kwa upande wangi mimi naona sio constructive.Sie kama WanaJF ni watu muhimu sana kama sehemu ya watu ambao wameanza kuonyesha wanainfluence na kuleta upepo wenye heri njema kwa Taifa basi tumeanza kuona upepo mkubwa toka ilipoanzishwa 2006.

Tuangalie hivi katika hawa CCM candidates wanane waliotajwa je ni yupi aliyekuja humu ndani zaidi ya Willy.!!!!.Ukiondoa WanaCDM hakika wengine tungempa support tupate mtu kutoka humu ambae kesho na kesho kutwa mfumo wa CCM utabadilishwa na watoto wa hawa hawa vigogo wa CCM,kwa msingi ya kuwa anapoudhulia Bunge la EA tayari tunamtu ambae hata sauti ya wanJF itaingia EA kupitia mdau huyu wa JF kwa tiketi ya JF na pia hata yanayoendelea ndani ya bunge lile wakati huo huo tutayapata hapa hapa na kuyapatia majibu ambayo Willy atayatumia jamani.

Tusimwangalie Willy kwa jicho la CCM,ndio CCM ni mbovu lakini linapokuja kuwa ni swala la CCM ndani kwa ndani na si kwetu huku tuwape support WanaJF,Nape na Willy their part of us,yani kwa ulimwengu wa technology we are family pamoja na kuwa tunatofautiana sana kwenye itikadi na misimamo.Lakini swala la East Africa kama si Willy wana JF toeni option nani?Kwa kuwa wengineo tunawasikia majina wala binafsi siwajui,lakini kupitia JF nimevutana na Willy na hatimae kumwelewa ni aina gani ya mtu na kuwa tunatofauti za kimtizamo lakini likija la maslahi ya kitaifa tunaunga jahazi.

Uchaguzi wa Ubunge wa Willy ungekuwa ndio ule wa kupigiwa kura na umma,ule kidogo kungekuwa na vipimo kulingana na maitaji yanayokubaliana na vigezo vya umma.Kupitia vigezo hivyo ndio tungeona tunamuweka wapi Willy kwa mujibu wa jamii anayotaka kuiongoza kwenye jimbo husika.

Lakini kwa hili la ubunge huu,kinachotakiwa ni kumjenga na kumpa support ili walio huko kwenye uchaguzi wajue nyuma ya Willy kuna great thinkers, ambao pindi wakimuacha kumchukua huyu jamaa wajue great thinkers watadeal nao kuwa wanadhamira gani na watanzania kama kuna kijana wa kitanzania mwenzao anauwezo na amekuwa exposed hivyo kwa kushirikina na jukwaa anauwezo wa kujenga hoja ndani ya Bunge la EA Community .Tumpe support kwa dhamira hiyo na sio vinginevyo na ajue hilo kuwa nyuma yake licha ya kutumwa EA kwa tiketi ya CCM,lakini kuna Jukwaa makini la siasa la JF.

Tumejenge ili tumtumie kwenye Bunge la East Africa Community.Leo hii Nape awezi kufanya kikao akatoka kwenye kikao akamaliza siku tatu bila kutwambia ndani ya jamvi ana ujumbe gani toka kwenye vikao vyake vya kichama ndani ya CCM.Jana ametoka kwenye uchaguzi pamoja na vijembe kibao kumuhusu kutokana na uchaguzi wa Arumeru amekuja na pongeiz zake nzuri kwa CDM na CDM wamezipoke na maisha yanaendelea

Na vivyo hivyo mpaka sasa sizani JF kama tuna mtu RELIABLE SOURCE OF INFORMATION ndani ya Bunge la EA,imefika wakati tuna mhitaji mtu wa aina hiyo,pindi tu anaingia na kutoka ndani ya BUNGE lile tayari tuna taarifa na tunajua yanayojili,wenzetu wanasema INFORMATION IS POWER.Tumpe tuone nasi wanaJF tunaweza kufanya change ya mambo mengi ndani ya Bunge hilo kiasi kuwa Mzee Mwanakijiji nae aweke kambi mule ndani.

Tusiwe negative hata kwa mambo ya utaifa.Haya ndiyo ya Yanga akicheza na timu ya Taifa jingine Simba wanashabikia mahasimu wa Yanga,Simba nao wakicheza na timu ya Taifa jingine Yanga nayo inakuwa rafiki wa hasimu wa Simba.Hakika akili hiyo ya Simba na Yanga kwenye michezo ya Kimataifa imeludisha Soka la Tanzania,sipendi kuiona tabia hiyo iingie kwenye siasa za kimataifa tena hata kwa great thinkers ndani ya JF.
 
wewe Suzie unalako ni leo wamemuongelea humu nia yake?

umetumwa na walioshindwa au weye ni mmoja wao na unamjua sana kaka huyu unajidai tu

umekurupuka sana kukosoa watu mwanzoni wa thread hii

utajiju, hata muuza mkaa miaka 40 anahaki kugombea chochote
 
atapapta kwani kurithishana ndio jadi zao si unaona makamba kaacha mbegu, na malechela anataka achembegu kikwete atamwacha riz, na wengine wengi jamani mwashaangaa nini
 
Huyu jamaa hajawah hata kuwa balozi wa nyumba10, matatizo ya watanzani huwa anasikia tu kwenye vyombo vya habari sasa anataka kutufanya vichwa vya wendawazim ajifunzie eti! Maskini Tanzania yangu na watanzania wenzangu tuna kaaazi kwelikweli! Tumuombe mungu atunusuru na hawa watu.
 
- Facebook ni mambo ya picha na Social life ya members wa huko, ndio maana ukienda kwenye Wall ya Obama rais wa USA, utakuta anazungumzia jinsi mbwa wake alivyomzuri na mwenye akili sana, I mean mtu akija hapa uwanja wa siasa na kuanza mambo ya Social life za huko Facebook, then inaleta maswali kama kweli ana uwezo wa kuelewa toafuti ya Facebook na JF!

Willliam.
a

Hivi kwa mtu unayetaka kuwa mbunge tena wa afrika mashariki, huo muda wa kuanza kujitundika mapicha yaa show off unapata wapi kama si kutuonesha kuwa hy ndo itakuwa huna ufikirialo zaidi ya kujitapa FB!
Niligemea katika ku-socialize basi ungefanya positive issuez hasa za kushawishi walau kuwa wewe ni mzalendo na mwenye upeo ambao unahitaji kuonesha kwa dhati uwakilishi wako kwa watanzania huko bunge la east africa.

Mjomba kwa hilo ume-fail ungejitetea vingine lakini habari ya FB hapana, kwa taarifa yako tabia za kuji-show off unazoonesha FB ndo zina-reflect tabia yako halisi!
 
mjadala mzuri sana...!

ivi hawa wagombea wengine si members wa hili jukwaa makini????!
 
I salute man, hili swala sio peke yangu nimekuwa nikijiuliza na umetupa upeo kuwa FB ni mahala pa hisia binafsi na wala sio maendeleo au ujuzi wako binafsi. Ndo maana Willy nilikushhauri acha mambo ya kufananisha Mamtoni na Bongo yaani tuko mbali sisi tunatakiwa kupost FB mambo ya kuitoa jamii na kuikwamua katika matatizo na wala sio kula bata kaka, soma alama za nyakati. Ila nakuheshimu kwaunavyojitetea hapa JF nakutakia kila la heri ila badilika FB za bongo tuone Visima na Matrekta

Wewe mmjamaa una akili sana.
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom