Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
- Thread starter
- #21
Mkuu umewashtua lazima wata take action isije ikawa ukombozi tunauzungumzia mijini mwaka 2015 tukachota aibu tele. Tusiridhike CDM tukaze buti licha ya kwamba serikali inapambana nanyi utafikiri wanapambana na alqaida. Nataka niamini kuwa serikali imekidhoofisha sana CDM hasa kuanzia matukio ya morogoro na iringa. Spidi imepungua sana na kwa hili wamefanikiwa. Ushindani unaokuja wa kugombea urais 2015 ni wa kudhoofisha mikutano ya CDM huko mabogas wa CCM wakiachwa kupeta kuhutubia bila kubughudhiwa. Hi ni sawa na vita ya kushindanisha timu mbili moja na washabiki ikiwa nuruni na nyingine isiyo na washabiki kuwa gizani. Then unawaambia washabiki waamue mshindi ni nani? Its crazy politics
Mkuu nawaeleza Ukweli......pamoja na kupigania tume huru ya uchaguzi;....ni vyema tuwe na uhakika wa kura za kulinda na kupigania. Mfano kwa hali hii ya Bukoba Vijijini, hata tume itoke INDONESIA hatuwezi pata kitu maana hakuna cha kuibiwa. Hii ndo inaniuma sana.