Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
udini upo kwenye jukwaa la diniMzito Kabwela,
Vipi Wilaya za Missenyi, Muleba, Ngara, Karagwe, Ngara, huko nako Chadema hakuna kabisa, vipi kuhusu udini.
udini upo kwenye jukwaa la diniMzito Kabwela,
Vipi Wilaya za Missenyi, Muleba, Ngara, Karagwe, Ngara, huko nako Chadema hakuna kabisa, vipi kuhusu udini.
wilfred rwakatare aka "entare ya bukoba" anatokea Bukoba Mjini. huyu bwana anacho ongea kina ukweli hata isingekuwa hilo la mkutano mwakilishi wa CDM kutoonekana. ili chama kikue vizuri, inabidi mambo yote mawili yapelekwe sambamba. kijenge uwezo wa "to organize and mobilize" CDM kwa sasa kinauwezo mkubwa wa kumobilize huku swala la kuorganizi likiachwa nyuma. inabidi kufanyike juhudi za makusudi. kama hilo swala la kukosa mwakilishi ni ulegevu wa ki-organization.Kama Wliya nzima hakuna hata CDM mmoja hivi Wlifred Rwakatare anatokea wilaya gani naomba kukumbushwa.
Hivi ulitegemea CCM wawaalike CDM kweli Ta Muganyizi hivi ni nshomile kweli huwezi kuona huo ukweli dhahiri.
CUF imefunga ndoa na CCM huko ZNZ. JK Rais wa JMT amemteua Mbatia mwenyekiti wa NCCR kuwa mbunge wa kuteuliwa.
Kwa CCM vyama vya Upinzani ACTIVE vinavyonekana ni CUF, NCCR, UDP etc. CDM kwa CCM ni chama cha msimu kisichokuwa na nguvu. Tia akili kichwani nshomile.
Kwa mamlaka yapi wewe. Nchi hii kwa sasa ina utawala. Nataka tuliowapa dhamana walitekeleze hili. Ndo maana nikashauri kama tatizo ni budget tushirikishane......
Acheni kulalamika, kazi ya uenezi si ya viongozi wa kitaifa. Someni kadi zenu mwishoni na kuelewa wajibu wenu kama wanachama. Matawi na ofisi hazifunguliwi kwenye JF!.. Acheni uvivu.
We unauliza Lwakatare aliyechoka badala ya kuulizia Josephine Nusumbuzi amabaye anazidi kunoneana na anatokea Bukoba vijijni sehemu moja inaitwa Ibwera Kishonga. Huyo kwa kutumia utupu wake angeweza kujaribu kunusuru chama kule, Tatizo ali;o nalo ni kma la anayeitwa mmewe, kaiba mme wa mtu (siongei sana kesi ipo mahakamani), lakini kwa wahaya yule hana sifa ya kuolewa hata kama hasingeiba mtu wa mtu na kuanza kudo naye kwani wahaya wnaamini yule ni kimada tu na amepoteza sifa na ndiyo maana hata CDM inazidi kupoteza uhalali maeneo hayo. NA si British Kingdom rural and urban tu na Muleba North even south kwa Professor wa kweli no cdm. Nahisi hata Karagwe in general, Chato na Ngara is the same. Kuna mtu alikuwa Biharamulo wiki jana anasema cdm kwisha. Masses za kupita kwenye mikutano ya adhara na adhari bila base ni ujinga and wastage of resources. Off course we know that there pp who benefit of the so calles operation/movement and move this alot while some vilaza shouting nothing here lakini cdm zero Kagera na nahisi ni sehemu nyingi sana tena sana za nchi. Kuna wanaobeza ushindi wa udiwani asimia 94, kweli huu ni uzezeta, lazima iwe aibu vyama vingine zaidi ya 20 kuachiwa asilmia 6
Nimekusoma. Ila Mimi mwenyekiti wangu wa Kijiji, Irogelo, Kata ya Kamachumu, wilaya ya Muleba ni wa Chadema
Usichanganye mambo. Mie naongelea Bukoba Rural as District. Wengi wenu huwa mnachanganya Bukoba kama Mkoa Mkoa ni Kagera.....na Kuna Wilaya Nane ikiwemo Bukoba Municipa na Bukoba(Rura) District.
Ki mamntiki ni kuwa kwenye vikao vya madiwani kama walau Chama kina kata moja basi Kiongozi wa Chama husika hualikwa.........wewe tulia tujenge chama chetu. Mbona kwenye vikao vya Manispaa CDM hualikwa. Toa mchango wako tufanyeje walau tupate kata moja.
RWAKATARE ni wa pale Kibeta Bukoba Municipal. Nikukumbushe tena nimesema Bukoba Rural
Kamanda, Ujumbe wako ni mzuri, lakini ukweli wa mambo CDM inaendesha na kugharamia ofisi zote za Mikoa, wilaya na majimbo nchi nzima. Ukifika mahali ukaona viongozi wametokomea tafuta ufumbuzi. Unajua sehemu kubwa ya shughuli za vyama ni za kujitolea. Hata ccm ofisi active ni za kitaifa, mikoa, wilaya na majimbo. Mfano CCM jimbo la Bagamoyo wana ofisi 7 kati ya hizo moja ni active. Nyingine hutumika kipindi cha uchaguzi. Jimbo la chalinze wanazo 3 na hapo moja ni active. HIVYO BASI CDM, misingi, na matawi huanzishwa popote!. Fanya kazi ni wajibu wako kama mwanachama. Acha kulalamika. Soma Kadi yako uone majukumu ya mwanachama.
Unalaumu au unataka ku - take initiatives?
Kama una positive thinking, go ahead. Nenda Ofisi ya CDM mkoa na wewe uwe kinara, la kama unaponda sidhani kama nitakuja tena kwenu kukutetea Iddi Amini akija kuwawowa, sauwa mutani?