Wilaya nzima (Bukoba Vijijini) Hakuna CHADEMA!

Mkuu umewashtua lazima wata take action isije ikawa ukombozi tunauzungumzia mijini mwaka 2015 tukachota aibu tele. Tusiridhike CDM tukaze buti licha ya kwamba serikali inapambana nanyi utafikiri wanapambana na alqaida. Nataka niamini kuwa serikali imekidhoofisha sana CDM hasa kuanzia matukio ya morogoro na iringa. Spidi imepungua sana na kwa hili wamefanikiwa. Ushindani unaokuja wa kugombea urais 2015 ni wa kudhoofisha mikutano ya CDM huko mabogas wa CCM wakiachwa kupeta kuhutubia bila kubughudhiwa. Hi ni sawa na vita ya kushindanisha timu mbili moja na washabiki ikiwa nuruni na nyingine isiyo na washabiki kuwa gizani. Then unawaambia washabiki waamue mshindi ni nani? Its crazy politics

Mkuu nawaeleza Ukweli......pamoja na kupigania tume huru ya uchaguzi;....ni vyema tuwe na uhakika wa kura za kulinda na kupigania. Mfano kwa hali hii ya Bukoba Vijijini, hata tume itoke INDONESIA hatuwezi pata kitu maana hakuna cha kuibiwa. Hii ndo inaniuma sana.
 
We unauliza Lwakatare aliyechoka badala ya kuulizia Josephine Nusumbuzi amabaye anazidi kunoneana na anatokea Bukoba vijijni sehemu moja inaitwa Ibwera Kishonga. Huyo kwa kutumia utupu wake angeweza kujaribu kunusuru chama kule, Tatizo ali;o nalo ni kma la anayeitwa mmewe, kaiba mme wa mtu (siongei sana kesi ipo mahakamani), lakini kwa wahaya yule hana sifa ya kuolewa hata kama hasingeiba mtu wa mtu na kuanza kudo naye kwani wahaya wnaamini yule ni kimada tu na amepoteza sifa na ndiyo maana hata CDM inazidi kupoteza uhalali maeneo hayo. NA si British Kingdom rural and urban tu na Muleba North even south kwa Professor wa kweli no cdm. Nahisi hata Karagwe in general, Chato na Ngara is the same. Kuna mtu alikuwa Biharamulo wiki jana anasema cdm kwisha. Masses za kupita kwenye mikutano ya adhara na adhari bila base ni ujinga and wastage of resources. Off course we know that there pp who benefit of the so calles operation/movement and move this alot while some vilaza shouting nothing here lakini cdm zero Kagera na nahisi ni sehemu nyingi sana tena sana za nchi. Kuna wanaobeza ushindi wa udiwani asimia 94, kweli huu ni uzezeta, lazima iwe aibu vyama vingine zaidi ya 20 kuachiwa asilmia 6
 
We unashangaa bk vijijini? Hivi Dar Es salaam kuna majimbo mangapi ya uchaguzi na kati ya hayo CCM inayo mangapi? na kuna viti vingapi vya madiwani na CCM invyo vingapi? we unakimbilia vijijini wakati hata mijini kama dar wanapiga kelele tu kwenye mitandao lakini uhalisia ni sifuri. Je unajua 2010 dar waliongoza kwa umchagua JK kuliko slaa? pole sana
 
Bora umelielewa hili mkuu.......cha kushangaza hapa anaweza asitokee kiongozi hata mmoja akalisemea hili. Wasipokuwa serious itabidi tuwaache wajifunze kwa vitendo japokuwa mabadiliko yatachelewa.
Siyo bukoba tu,tembelea maeneo kama Tabora vijijini,maeneo ya mkoa wa Tanga,pwani na rukwa CDM haifahamiki kabisa. Sioni mabadiliko yakija siku za karibuni,
 
Tuache kulalamika, tuchukue hatua, kama wewe ni bukoba vijiji chukua jukumu la kujenga chama kwenye wilaya yako! Usisubiri watu wengine hata kama wapo! Utajicheleweshea mabadiliko!

Well said.
Mtu anazungumza utadhani mabadiliko ni kwa faida ya Viongozi wa CHADEMA na sio ya kwake pia.
 
Siyo bukoba tu,tembelea maeneo kama Tabora vijijini,maeneo ya mkoa wa Tanga,pwani na rukwa CDM haifahamiki kabisa. Sioni mabadiliko yakija siku za karibuni,

Naomba tusaidiane sasa tuache kudanganyana. Kiongozi yeyote aliyeko juu.....nasema leteni mpango kazi wenu muuweke wazi ili watu wasikate tamaaa. Tuwaambie ukombozi unakuja wakati tunafanya maandalizi. Sehemu tunazokubalika ni chache. Bahati na fursa iliyopo ya wananchi kukichangia chama kwa ajili ya Mabadiliko tuitumie kwa busara na kwa nidhamu ya hali ya juu. Timing ni muhimu sana.
 
Huko Bukoba (V) 2010 hatukupata viti vya udiwani kutokana na kuchakachuliwa kwa kura zetu, kutokuwa na tume huru ya uchaguzi na CCM walitumia sana rushwa kwenye uchaguzi wakishirikiana na CUF kutuhujumu..
Kuwa mvumilivu M4C itafika muda si mrefu Sabodo akishatoa tena gawio, na Katibu akishamaliza maswala yake ya ndoa.
 
Kuna watu wanaakili za matope kabisa.
Mtu anazungumza utadhani siasa ni kazi ya kutambika.

Eti CHADEMA haijafika wilayani kwangu, then unamwaga lawama kwanini mpaka sasa hawajafika.
 
Huko Bukoba (V) 2010 hatukupata viti vya udiwani kutokana na kuchakachuliwa kwa kura zetu, kutokuwa na tume huru ya uchaguzi na CCM walitumia sana rushwa kwenye uchaguzi wakishirikiana na CUF kutuhujumu..
Kuwa mvumilivu M4C itafika muda si mrefu Sabodo akishatoa tena gawio, na Katibu akishamaliza maswala yake ya ndoa.

Akili yako kama avatar yako.
 
Hiyo Movement for Chura siijui. Kuhusu Charity to begin at home ni sawa lakini awashirikishe viongozi wa Kitaifa alionao aje na mpango kamili.
Kweli kabisa sijawahi kusikia kiongozi wa juu wa Chadema ametembelea Bukoba pamoja na kwamba Katibu mkuu kaoa Bukoba.
 
Uachotakiwa kufanya wewe ni kufungua tawi hapo Bukoba.Acha woga anzisha tawi kwa rasilimali ulizonazo then omba sopport toka huko juu. Hivi kama kweli tunataka kila kitu aje afanyo DR Slaa AU Mbowe tutafika kweli? Kazi ya kuijenga chama ni yetu wote sio ya viongozi wa kitaifa tuu. Fanya kile unachoweza kufanya thenwaamshe wenzako, la sivyo utaishia kulalamika tuu. PLEASE PLAY YOUR ROLE. SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
 
Kweli kabisa sijawahi kusikia kiongozi wa juu wa Chadema ametembelea Bukoba pamoja na kwamba Katibu mkuu kaoa Bukoba.
Ni vizuri ukaanza kujifunza siasa kwanza kabla ya kuja kupost humu JF, maana ulichoandika ni zaidi ya utumbo.
 
Uachotakiwa kufanya wewe ni kufungua tawi hapo Bukoba.Acha woga anzisha tawi kwa rasilimali ulizonazo then omba sopport toka huko juu. Hivi kama kweli tunataka kila kitu aje afanyo DR Slaa AU Mbowe tutafika kweli? Kazi ya kuijenga chama ni yetu wote sio ya viongozi wa kitaifa tuu. Fanya kile unachoweza kufanya thenwaamshe wenzako, la sivyo utaishia kulalamika tuu. PLEASE PLAY YOUR ROLE. SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
Mkuu umesema vema kabisa, Ni maajabu kwa mtu tena mwenye upeo wakuona kasoro tena wilayani kwake halafu anakuja humu JF kudai viongozi wa CHADEMA wa kitaifa waje wilayani kwake kumuanzishia mabadiliko!!
 
Ujumbe bila shaka umewafikia walengwa ambao ni viongozi wa juu wa Chama kwa hyo usifanye iwe lazima wao waje jukwaani kukupatia mpango mkakati cha msingi ujumbe umeeleweka na sio kwako tuu hata Kongwa Dodoma kuna tatzo hilo lakn tunatumia mbinu mbalimbali kukieneza chama kijulikane kwa wananchi
 
Chadema watasubiri sana kuiona ikulu kama mwendo wenyewe ndiyo huu. Yaani makelele meeengi kumbe yote ya chura tu kudadeki. Hivi ukitoa Arusha na Kilimanjaro, ni sehemu gani nyingine ambapo kinafahamika hiki chama?
 
Ta Muganyizi, ahsante kwa kuileta taarifa hii hapa jukwaani. Ila tambua kwamba kazi ya ujenzi wa chama si ya Dr Slaa au Mbowe pekee yao. Ni jukumu letu sote. Je baada ya kuiona hii hali umejaribu kufanya mawasiliano yoyote na uongozi wa chama mkoa au wilaya?. Kwa mfano mimi natokea wilaya ya Mkalama mkoani Singida. Awali hali iliyokuwepo haina tofauti na hiyo unayoielezea huko Bukoba rural lakini kwa kutambua umuhimu wa ukombozi nikawasiliana na uongozi wa CDM mkoa na nikaanzisha operation za kufungua matawi hatimaye mpaka sasa tuna mashina. Nimefanya workshops, seminar na mikutano midogo midogo mingi ya kuimarisha chama, etc, at my own expenses and risks. Je wewe umechukua hatua gani?. Kazi ya ukombozi si jukumu la fulani, ni jukumu letu sote. Kwa pamoja tuijenge CHADEMA.
 
Ujumbe bila shaka umewafikia walengwa ambao ni viongozi wa juu wa Chama kwa hyo usifanye iwe lazima wao waje jukwaani kukupatia mpango mkakati cha msingi ujumbe umeeleweka na sio kwako tuu hata Kongwa Dodoma kuna tatzo hilo lakn tunatumia mbinu mbalimbali kukieneza chama kijulikane kwa wananchi
Mkuu mimi sikuungi mkono katika wito wako wa kutaka viongozi wa CHADEMA waende sehemu kama huko Bukoba vijijini wakaanzishe mkakati wa mabadiliko, wakati wenyeji wenyewe kama huyu mleta mada ameshindwa kuanzisha lolote zaidi ya kuja humu na kulalamika tu.

Mabadiliko ya kweli hayawezi kuletwa na Viongozi wa kitaifa bali wananchi wenyewe waliochoka na utawala wa CCM.
 
Mkuu umesema vema kabisa, Ni maajabu kwa mtu tena mwenye upeo wakuona kasoro tena wilayani kwake halafu anakuja humu JF kudai viongozi wa CHADEMA wa kitaifa waje wilayani kwake kumuanzishia mabadiliko!!

Nyie watu vipi? Yaani mnataka matawi yaanzishwe kwa gharama za mtu binafsi? Hivi mnajua sheria ya uendeshaji wa vyama vya siasa au mnaongea tu? Chadema ni chama kinachopokea ruzuku kutoka serikalini ambayo ndiyo kisheria inapaswa kufungulia hayo matawi mapya sehemu kama Bukoba vijijini.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom