FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Dah JF kiboko.
Sikiliza Gud guy,sikumoja piga simu na fanya mazungumzo ifatavyo-
- Gud guy halooo!
- SHEMEJI haloo kaka shikamoo
- Gud guy marahaba dada mambo?- SHEMEJI mazuri
- Gud guy sasa dada leo kidogo utanisamehe! Maana tumekua ndugu mda sasa lakini leo ningependa ukaka na udada uishe na tuanze kuwa wapenzi,offcourse nakupenda sana nisinge penda kuwa ma-kaka na dada,samahan kama ntakukwaza.....maongezi yataendelea
vunja ukimya,ukimbelambele atatokea mwewe huko na kumpitia alafu utabaki domo wazi.Nipe feedbac
Namshauri huyu Gud guy akimpata huyo mrembo aje kukupa Asante umemuelekeza hadi kutongoza.
sometimes wanawake tunatumia shikamoo na kaka ili kuzuia mianya ya kutongozwa, pale unapoona dalili mapeeeema kwamba jamaa kazimika hana muda atashusha sera za chama na serikali.....
Dawa ni kuvunja ukimya
ukisubiri aache kukuamkia utasubiri sana.....mwisho utaletewa kadi ya mchango wa sendoff
Kwani hiyo shikamoo ndo inakunyima nini
Kwani ukiwa umekaa nae mahali ambapo umepapanga na baada ya hiyo shikamoo yake mkaendelea na mazungumzo yenu na ukafikia kusema lililo moyoni ni kosa
Au tuseme mdomo unakuwa mzito
Ukishapewa shikamoo aibu na hata kuongea tena huwezi unaishia kwenda zako kujisikitikia
Fanya zaidi ya hapo na badili mazingira mnayokutana naye na siku moja mtoe out
Huo ukaka na udada utaishia zake
acha kumfunza kijana ukicheche!akikuamkia tena muulize 'unanipa shikamoo unataka kuninyima nini?'
kama ni wife material atajiongeza.
Sikiliza Gud guy,sikumoja piga simu na fanya mazungumzo ifatavyo-
- Gud guy halooo!
- SHEMEJI haloo kaka shikamoo
- Gud guy marahaba dada mambo?- SHEMEJI mazuri
- Gud guy sasa dada leo kidogo utanisamehe! Maana tumekua ndugu mda sasa lakini leo ningependa ukaka na udada uishe na tuanze kuwa wapenzi,offcourse nakupenda sana nisinge penda kuwa ma-kaka na dada,samahan kama ntakukwaza.....maongezi yataendelea
vunja ukimya,ukimbelambele atatokea mwewe huko na kumpitia alafu utabaki domo wazi.Nipe feedbac
She is 20+ and I'm 25yrs
old, the love i feel for her is real, lakini kwa bahati mbaya nashindwa
kumwambia. Tunawasilana sana kwa cmu, ila kinachonifanya nashindwa
kumwambia what i feel for her ni kwa sababu ananihabia pozi lote kwa
kunipa shikamoo na kuniita kaka. To be honest ni kwamba
cjawahi kumpenda mwanamke yeyote kama huyu na nisingependa kumkosa. But I
don't know where to start, if she only c me as brother how will she
take it..