Where to start unapoitwa kaka na shikamoo za kutosha

Kwa kuwa amekuzoea muombe kumtoa out, akikubali maliza biashara kwa kumwambia kilicho moyoni. Shikamoo hazizuii chochote, tuulize mastriker tunachukua mali sawa na binti zetu kwa raha zetu.
 
akikuamkia,na wewe muitikie,kwani kuna ubaya gani?mjibu marahaba mtot mzuri hujambo?,flirt nae taratibu uone muelekeo wake.watu wengine kwenye ndoa wanawaamkia waume zao,sembuse wewe?
Huyu sio mlaji, achelewe chelewe kama hajaletewa kadi ya mchango iliyoandikwa kwa kuanzia na neno Kaka......
 
Achana naye. Tafuta rika lako au mwanamke mwingine eneo lingine kabisa la sivyo utaumia sanaaa kaka usije sahau. Usilogwe kumtamkia ya moyoni mwako utajuta atakunatia mpaka ujute mwishoe utajinyongaa.

Acha kukatisha tamaa watu atamkosa nani kakuambia atamkosa.
 
Watu tukisalimiwa ndo tunang'oa kirahisi ww unaogopa, duh kweli tofauti.
 
Tungepata wataalam wengine kama wewe wenye uwezo wa kueleza mambo kwa mpangilio kwa namna hii kwenye kuboresha kilimo chetu tungekuwa mbali sana....


Wataalamu wa kilimo wapo sema wengi wao hawajui jinsi ya kutumia mitandao kama hii na wale wachache ambao wanajua hata wakija huku kucomment still wanakuwa wanafunikwa na topic za MMU hivyo michango yao inakuwa haionekani sana
 
akikuamkia,na wewe muitikie,kwani kuna ubaya gani?mjibu marahaba mtot mzuri hujambo?,flirt nae taratibu uone muelekeo wake.watu wengine kwenye ndoa wanawaamkia waume zao,sembuse wewe?

mkuu umemjibu ki utu uzima...akili zake achanganye na za kupewa hapa JF , then atapata uelekeo sahihi.
 
Utafanya kazi ukiwa na minyege kibao mkuu, si ndiyo mwanzom wa kuharibu kazi za watu

hilo nalo neno mkuu...kwani genye/ ganzi inatabia mbaya sana ya kukomba pande zote ubongo wa mtu na kupeleka kwenye centre of gravity ili kusaka equilibrium , sasa hapo ndo shida inapo anzia.
 
Hakuna mahusiano yoyote kati ya kukuamkia na kukuita kaka na hilo unalodhamiria kumwambia
.Mweleze pasina shaka wala kupepesa macho.
 
We sema hujui procedures za kmuaproach msichana, ss ww ulitaka wewe ndo uwe unamwamkia ndo umtongoze? Watu wana aproach vibinti vya 16 na wanawapata, unafikiri wanakuwa wanasalimiwa salam gani? Ungeuliza kuna dada namzimia ss namtongozaje uelekezwe, maana 25+ kutojua kutongoza inaonekana uliruka stage.
 
Back
Top Bottom