Where to start unapoitwa kaka na shikamoo za kutosha

Umenikumbusha mbali mkuu. 10yrs ago nilipoanza kumfahamu mkaka ambaye sasa ni mume wangu. Salamu yangu ilikuwa hiyo hiyo na ilimchukua 2ys kuweza kueleza hisia zake!
wow... Gud Guy do something before its too late! I'm really inspired .thanks
 
nakupa tahadhari siku ukipingwa chini na huyo sister ujue ndio hiyo heshima iliyopo ndio umeikosa milele kikubwa uwe makini maana unaweza ona unatatua kumbe una tibua
I understand the risk mkuu, but what can i do, I have to take the risk. thanks
 
Acha uoga mtoto wa kiume kutongoza sio ufikirie kwamba kuna mbinu ni uoga wako tu kumwambia acha uoga kijana
 
Hivi mtu akikupa shikamoo huwezi kumtongoza??!!!!!!!!!!!!!! Hii mentality inatoka wapi???

Mjasiria hapo umetisha!
hata mi sielewi hii nidhamu inatoka wapi!? yaani kuambiwa shkamoo, na kaka ndo ushindwe kumwaga verse, Haaa we mwanaume wa gani?
mimi mke wangu ananiamkia kila asubuhi, au tunapowasiliana kwa mara ya kwanza nikiwa mbali, kisha ananiita dady, sa si ndo ningeogopa hata kumpiga mambo?!!!
akikuamkia we itikia, na mwambie hisia zako. Tatizo lako siyo salamu wala kuitwa kaka, bali unakosa kujiamini (self confidence) au unaogopa kupigwa kibuti. mi nakushauri tu useme, maana jibu la hapana ni afadhali sana kuliko msongo mawazo au jakamoyo ulilo nalo sasa
 
Oooooooof! sasa amekwisha maana alikuwa anaikaba sana na kashkamoo kake,nimepata vase humu naenda kifua mbele kumtongoza sasa mlishonyuma (feedback) ntawapeni Comrade
 
Mjasiria hapo umetisha!
hata mi sielewi hii nidhamu inatoka wapi!? yaani kuambiwa shkamoo, na kaka ndo ushindwe kumwaga verse, Haaa we mwanaume wa gani?
mimi mke wangu ananiamkia kila asubuhi, au tunapowasiliana kwa mara ya kwanza nikiwa mbali, kisha ananiita dady, sa si ndo ningeogopa hata kumpiga mambo?!!!
akikuamkia we itikia, na mwambie hisia zako. Tatizo lako siyo salamu wala kuitwa kaka, bali unakosa kujiamini (self confidence) au unaogopa kupigwa kibuti. mi nakushauri tu useme, maana jibu la hapana ni afadhali sana kuliko msongo mawazo au jakamoyo ulilonalo sasa
you are right mkuu, this just happen when you need something so badly and you think you can't afford losing it. Ngoja nichukue hatue kuuelekea ushindi. Thanks a lot!
 
kama hujui kutongoza na ww ni mkristo basi mwambie umeoteshwa na bwana kuwa ww ni chaguo lake
nk. kazi kwako
 
Wakati mwingine kukuita kaka shows how serious i trust you!
Wat if yuko veery much secure with you kama alivo kwa kaka yake!!
Wengine huwa tunaangalia vitu vya ajabu sana kwenye maamuzi ya kudate!!
 
uzinzi uko wapi hapo mkuu

Achana naye. Tafuta rika lako au mwanamke mwingine eneo lingine kabisa la sivyo utaumia sanaaa kaka usije sahau. Usilogwe kumtamkia ya moyoni mwako utajuta atakunatia mpaka ujute mwishoe utajinyongaa.
 
Sikiliza Gud guy,sikumoja piga simu na fanya mazungumzo ifatavyo-
- Gud guy halooo!
- SHEMEJI haloo kaka shikamoo
- Gud guy marahaba dada mambo?- SHEMEJI mazuri
- Gud guy sasa dada leo kidogo utanisamehe! Maana tumekua ndugu mda sasa lakini leo ningependa ukaka na udada uishe na tuanze kuwa wapenzi,offcourse nakupenda sana nisinge penda kuwa ma-kaka na dada,samahan kama ntakukwaza.....maongezi yataendelea

vunja ukimya,ukimbelambele atatokea mwewe huko na kumpitia alafu utabaki domo wazi.Nipe feedbac

kizembe hvo...!!!
 
Last edited by a moderator:
nakupa tahadhari siku ukipingwa chini na huyo sister ujue ndio hiyo heshima iliyopo ndio umeikosa milele kikubwa uwe makini maana unaweza ona unatatua kumbe una tibua

Potelea mbali! Bora umtongoze akutolee nje, kuliko heshima itakayokuacha na maumivu moyoni Good Guy;);)
 
Last edited by a moderator:
She is 20+ and I'm 25yrs old, the love i feel for her is real, lakini kwa bahati mbaya nashindwa kumwambia. Tunawasilana sana kwa cmu, ila kinachonifanya nashindwa kumwambia what i feel for her ni kwa sababu ananiharibia pozi lote kwa kunipa shikamoo na kuniita kaka. To be honest ni kwamba cjawahi kumpenda mwanamke yeyote kama huyu na nisingependa kumkosa. But I don't know where to start, if she only c me as brother how will she take it..

Kijana sidhani kama ukiamua kumtongoza itakuwa ni right move... Kifupi siku hizi watu hawatongozani hiyo kitu ni kama imepitwa na wakati tena kitambo sana.....

Cha kufanya since mnachat kila mara ni kuwa tayari mshajengeana urafiki mzuri so wewe set nae appointment sehemu ambayo walau ina privacy fulani(Ambayo haina watu wengi wanaopita eg. Tafuta Bar/restaurant ambayo haina taa yenye mwanaga mwingi kakae nae kwenye meza ya kwenye kona maana hizi nyingi zinakuwa na mwanga hafifu)... ukifika anza kupiga nae story za hapa na pale...

Chagua story ambayo haita mfanya haboreke (hapa waweza kuleta story za music, movie etc kutokana na interest na huyo gal wako)

Jitahidi katika meza utakayoenda kukaa umtangulize yeye kwanza akachague seat ili uweze kukaa seat ya karibu na yeye maana ukisema wewe uchague kwanza seat ya kukaa anaweza kuwa mjanja na kukaa seat ya mbali na wewe.

Faida ya kukaa seat ya karibu na yeye ni kuwa itakuwa rahisi kwako kuflirt nae kwa kumgusa mara kadhaa mwili wake kwa kutumia kiganja chako na kufahamu reaction yake kama anapendezwa na unachofanya au laa...

Pia kwenye flirting ya kumgusa(mikononi mwake tu kwa kuanzia) uwe makini kidogo maana mara nyingi unaanza kumgusa walau for 3seconds then unamwacha unaendelea na story ukiona karelax hajakupa -ve sign then after 2minutes waweza rudia tena hicho kitendo ila this tym waweza chelewa kuutoa mkono wako walau kwa 10seconds then unamwacha na kupumzika for 2minutes again then unarudia for like 30sec then as time goes by ukiona anakuchukulia poa na wewe unaanza kutumia akili ya kazi
 
Tungepata wataalam wengine kama wewe wenye uwezo wa kueleza mambo kwa mpangilio kwa namna hii kwenye kuboresha kilimo chetu tungekuwa mbali sana....

Back
Top Bottom