Ujumbe mkali sana. Angepunguza ukali wa maneno.
Eti beautful onyinye teh teh teh teh
Leo ndo anajua the tandalezi aren't loyal move on my dia
Kumbe roho inaumuuma eeh. Wema jitahidi kuficha maumivu yako unajichora. Mi nilifikiri umeridhika na safari za China na BMW.
Sidhani kama hiyo ni akaunti ya wema....inaweza kua ya shabiki wake tu
Leo ndo anajua the tandalezi aren't loyal move on my dia
Leo ndo anajua the tandalezi aren't loyal move on my dia