Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,427
21,118
Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto .

1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny):

Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi.

Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu (Tanzania Sweetheart) tena kipindi hicho Wema alikuwa na nyota kali balaa, alimpiga chini Wema kisa kukosa mtoto akaamua kwenda kwa mtangazaji wa EFM Radio, Penny ili amzalie
mtoto.

Penny alimkosesha raha Wema Sepetu, Wema alikuwa anapiga simu mpaka usiku wa manane kumuomba Diamond warudiane, siku moja Penny alipokea simu na kumpa shiti sana Wema mwishoni anamwambia "Na utuache tulale".

Diamond Platnumz alimrushia kijembe Wema kwenye wimbo wake wa My number one pale aliposema "Na watuache tulale".

Sasa kutokana na Diamond kutafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio ,ikabidi Penny atumie mbinu yake ili kufaidika na pesa za Diamond.

Penny aliahidiwa na Diamond Platnumz kwamba, kama atamzalia mtoto atamnunulia gari zuri, kwa hiyo kazi ikawa kwa Penny sasa, afanyaje na yeye kipindi hicho usichana mwingi na hataki kubeba mimba.

Penny sasa alichofanya alitengeneza mchongo aonekane ana mimba.

Diamond aliamini uongo wa Penny na kutimiza ahadi ya kumnunulia gari ikabidi Penny aina ya Toyota Brevis rangi ya bluu iliyoiva.

Baada ya muda mchache Penny akageuka, akamwambia Diamond mimba imetoka.

Diamond Platnumz roho ilimuuma sana ikabidi aanze kumpiga visa Penny ili waachane kila mmoja ale hamsini zake.

Diamond Platnumz akaamua kurudisha majeshi kwa Wema, kwa hasira akaenda na Wema kumfanyia shopping Hongkong na huko sasa akavujisha picha zao kibao za mahaba, alipoulizwa na Penny akamjibu wanafanya tu muvi, ameamua kuingia kwenye filamu pia.

Diamond aliamuwa kumrushia kijembe Penny kwenye My number one remix pale alipomwambia "ACHA MUVI IENDELEE".

MONDNAPENY.jpg

2A)Diamond na Jackline Wolper

Hawa mwanzoni walijifanya ni business partners ila baadaye wakakiri kuwa ni wapenzi, Wolper alianza kuwa na Diamond kabla ya Wema, japo Hamisa alianza kuwa na Diamond kabla ya hawa wote na kabla Diamond hajawa maarufu.

Wolper na Diamond walidumu mwezi mmoja tu penzi likafa.

3A) Diamond na Tanasha

Huyu dada licha ya urembo wake lakini alikuwa na nyota mbaya sana, penzi lao halikuwahi kunoga machoni mwa watu, tena na hivi hajui Kashi kashi za wabongo ndo kabisaaaaa, wabongo walimpachika jina la Tarzan. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

4) Diamond na Zuchu
Miongoni mwa couple mbaya za Diamond Platnumz, basi na hii nayo imo. Couple haivutii kabisa japo nguvu kubwa sana inatumika lakini holaaa.

Anyway Siri ya mtungi shahidi kata. Za chinichini inasemekana Diamond aliwahi kumlewesha Zuuh na kumpeleka kuleeeeeeeeeee palipo laaniwa mpaka binti wa watu ameshazoea, Khadija Kopa aliwahi kusikika 'Yaani uniharibie mtoto wangu halafu umuache tu kienyeji, Haiwezekani'. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Couple zingine za ziada za Diamond zilizokosaga mvuto ni pamoja na couple yake na Aunt Ezekiel, couple na Nelly Kimwelu, couple na Lina Sanga, japo alikuwa anamla tu kisela.

Sasa hizi ndizo couple za Diamond zilizokuwa na mvuto.

1B) Diamond na Wema

Miongoni mwa couple bora zaidi zilizotikisa nchi ,ukiachilia mbali couple ya Nature na Sintah, basi Couple ya Diamond na Wema ndio couple yenye mvuto zaidi na kama unafuatilia vizuri Diamond huwa anapata mafanikio mengi sana akiwa na Wema kuliko mwanamke yeyote yule, ukitaka kuamini fuatilia comeback zote za Diamond kwa Wema zilivyokuwa.

2B)Diamond na Zari
Hii nayo ni couple bora yenye mvuto na mvuto ulizidi zaidi pale Zari alipomzalia Diamond Queen Tiffa.

3B)Diamond na Uwoya

Hawa nao japo mapenzi yao walijitahidi kuyaficha lakini kiukweli ni couple yenye mvuto na ilikuwa inamuumiza sana marehemu Ndikumana, maana alikuwa ana date na Diamond wakati bado yupo na Ndiku.

4)Diamond na Hamisa
Hii nayo ni couple ilivyokuwa na mvuto ila walichoshindwana ni kitendo Cha Hamisa kutoweza kutunza Siri ,kwa sababu walikubaliana wawe Wana date kimya kimya, kipindi ambacho Diamond alikuwa yupo na Zari, Hamisa mwanzoni alikubali hata kuolewa mke wa pili na Diamond, ila alipopata tu mtoto akaona weeeee usinitanie, nataka kila mmoja ajue nimemzalia Diamond ndipo alipowaita akina Sudi kuwapa ubuyu wote jambo lililomkasirisha mama Diamond na Diamond mwenyewe.

5B) Diamond na Jokate
Hii couple ilianza kipindi wanafanya shooting ya wimbo wa Mawazo. Kipindi hicho Diamond alikuwa bado yupo na Wema, lakini Diamond aliamua kumpiga chini Jokate bila sababu yoyote ya msingi akarudi tena kwa Wema.

Jokate ili kumkomoa Diamond akaamua kutoka na Ali Kiba, kipindi hicho Diamond na Kiba walikuwa kwenye bifu zito sana la kimuziki.

Couple nyingine ya ziada japo haikuthibitika ni couple ya Diamond na Lisa Jensen, miss TZ namba 3 mwaka 2006 ,nyuma ya Jokate na Wema.

Kwa kifupi Diamond alitafuna top 5 yote ya miss TZ 2006 (Wema, Jokate, Lisa, Aunt na Uwoya).

Tchaooooooo
 
View attachment 2850764

Nephew

What the fvck did I clicked on to?
 
Huyu dada licha ya urembo wake lakini alikuwa na nyota mbaya sana, penzi lao halikuwahi kunoga machoni mwa watu, tena na hivi hajui Kashi kashi za wabongo ndo kabisaaaaa, wabongo walimpachika jina la Tarzan.

4) Diamond na Zuchu
Miongoni mwa couple mbaya za Diamond Platnumz, basi na hii nayo imo. Couple haivutii kabisa japo nguvu kubwa sana inatumika lakini holaaa.

Anyway Siri ya mtungi shahidi kata. Za chinichini inasemekana Diamond aliwahi kumlewesha Zuuh na kumpeleka kuleeeeeeeeeee palipo laaniwa mpaka binti wa watu ameshazoea, Khadija Kopa aliwahi kusikika 'Yaani uniharibie mtoto wangu halafu umuache tu kienyeji, Haiwezekani'.

Couple zingine za ziada za Diamond zilizokosaga mvuto ni pamoja na couple yake na Aunt Ezekiel, couple na Nelly Kimwelu, couple na Lina Sanga, japo alikuwa anamla tu kisela.

Sasa hizi ndizo couple za Diamond zilizokuwa na mvuto.

1B) Diamond na Wema

Miongoni mwa couple bora zaidi zilizotikisa nchi ,ukiachilia mbali couple ya Nature na Sintah, basi Couple ya Diamond na Wema ndio couple yenye mvuto zaidi na kama unafuatilia vizuri Diamond huwa anapata mafanikio mengi sana akiwa na Wema kuliko mwanamke yeyote yule, ukitaka kuamini fuatilia comeback zote za Diamond kwa Wema zilivyokuwa.

2B)Diamond na Zari
Hii nayo ni couple bora yenye mvuto na mvuto ulizidi zaidi pale Zari alipomzalia Diamond Queen Tiffa.

3B)Diamond na Uwoya

Hawa nao japo mapenzi yao walijitahidi kuyaficha lakini kiukweli ni couple yenye mvuto na ilikuwa inamuumiza sana marehemu Ndikumana, maana alikuwa ana date na Diamond wakati bado yupo na Ndiku.

4)Diamond na Hamisa
Hii nayo ni couple ilivyokuwa na mvuto ila walichoshindwana ni kitendo Cha Hamisa kutoweza kutunza Siri ,kwa sababu walikubaliana wawe Wana date kimya kimya, kipindi ambacho Diamond alikuwa yupo na Zari, Hamisa mwanzoni alikubali hata kuolewa mke wa pili na Diamond, ila alipopata tu mtoto akaona weeeee usinitanie, nataka kila mmoja ajue nimemzalia Diamond ndipo alipowaita akina Sudi kuwapa ubuyu wote jambo lililomkasirisha mama Diamond na Diamond mwenyewe.

5B) Diamond na Jokate
Hii couple ilianza kipindi wanafanya shooting ya wimbo wa Mawazo. Kipindi hicho Diamond alikuwa bado yupo na Wema, lakini Diamond aliamua kumpiga chini Jokate bila sababu yoyote ya msingi akarudi tena kwa Wema.

Jokate ili kumkomoa Diamond akaamua kutoka na Ali Kiba, kipindi hicho Diamond na Kiba walikuwa kwenye bifu zito sana la kimuziki.

Couple nyingine ya ziada japo haikuthibitika ni couple ya Diamond na Lisa Jensen, miss TZ namba 3 mwaka 2006 ,nyuma ya Jokate na Wema.

Kwa kifupi Diamond alitafuna top 5 yote ya miss TZ 2006 (Wema, Jokate, Lisa, Aunt na Uwoya).

Tchaooooooo
Haya kapokee buku Saba yako
 
mzee wa broklyn hiphop halisi
Unaona mambo haya

Ova
What'up thun'

Im in my ancestor's land in Kilimanjaro sipping my local wine man!

This simp spewin' our fellow man's bedroom biz out in public....cant take that sh1t man!

Will be in my city Germantown,MA through JFK,NYC in January my nigga!

Peace to yo' family this festive season....and yeah fvck Santa Claus,he ain't real!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ uko zako bize unadate unapachua kumbe kuna mtu anakagua na kukamilisha moyoni mwake kwamba unayemdate ni mzuri au mbaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃDiamond ni staa mkubwa barani Africa na duniani kiujumla lazima tumlinganishe na anaye date naye kama wanaendana.
 
Back
Top Bottom