Wema Sepetu matusi hayajengi

Wemaz come to me babe am the owner of ze Tanzanite2, just pm. Will u buy BM X6
 
Team wema wana shidaaaaaa.....ukute wema yuko.poa..wao ss full stress
 
Nauliza... wema na diamond wamechana....? Ile harusi ya uwanja wa taifa ndo imeishia hewan....?
 
Huyu sio Wema ni mshabiki tu ameamua kuandika yake . mbona Wema alishacomment kusifia picha ya zari? Kwa habari fupi ni kwamba this time diamond ndio anabembelezea na kujilizaliza. Wema yuko happy huko aliko. Msimlishe mtoto wa watu maneno. So hata ile account ya diamod replies ni diamond mwenyewe sio? Usiwe mzushi leta habari za kweli
Domo mbona kaweka wazi kuwa ya BMW na trip za China yamemshinda sasa unasemaje yeye ndo analilia kurudi? Kimsingi yeye ndo kajichomoa ila inaandikwa otherwise.
 
Domo mbona kaweka wazi kuwa ya BMW na trip za China yamemshinda sasa unasemaje yeye ndo analilia kurudi? Kimsingi yeye ndo kajichomoa ila inaandikwa otherwise.

yule hawezi bwaga manyanga kwa madam atachizika mmpeni mwezi tu
 
Back
Top Bottom