Wema Sepetu matusi hayajengi

loveleen

JF-Expert Member
Jul 3, 2014
431
112
Hii tuiite abusing, jealous, au hates? Halaf Zari thebosslady wa watu hata hakumrespond na daily anakua na POSITIVE THINKING!

attachment.php


:thumbup::sly::):eek:
 

Attachments

  • 1416375971001.jpg
    1416375971001.jpg
    77.6 KB · Views: 3,231
Matusi mingiiiìi ndo maumivu ya kuachwa au? Hmm sisomi mengi acha movie iendelee........
 

Attachments

  • 1416376074813.jpg
    1416376074813.jpg
    66.5 KB · Views: 2,091
Duh maskini wema kaumia saana inaonyesha anampenda sana domo
pole wema usijali atarudi tu
 
Kumbe roho inaumuuma eeh. Wema jitahidi kuficha maumivu yako unajichora. Mi nilifikiri umeridhika na safari za China na BMW.
 
Sio akaunti yake hiyo.......anajiita wemasepetu......huo ushabiki tu......
 
Huyu sio Wema ni mshabiki tu ameamua kuandika yake . mbona Wema alishacomment kusifia picha ya zari? Kwa habari fupi ni kwamba this time diamond ndio anabembelezea na kujilizaliza. Wema yuko happy huko aliko. Msimlishe mtoto wa watu maneno. So hata ile account ya diamod replies ni diamond mwenyewe sio? Usiwe mzushi leta habari za kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom