Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
- Maneno mazito sana haya mkuu, by the way for the record Mengi amewahi kuwamaliza viongozi wangapi in the past, just to be safe na the history maana si unajua hapa ni where we dare.
Thanxs!
Mengi as an individual hamalizi viongozi au mtu. And you know that. He has machineries!!!!! Kuna la zaidi hapo!!!! Hata vyombo vyake vya habari pamoja na vya watu wengine viliripoti EPA na mambo mengine na matunda tumeyaona japo hatujapata end points. Mimi nasubiri tu vijana wetu hapa walituletee evidence tuzichambue, sina evidence na masuala ya National IDs ndo maana niliomba katika post yangu ya awali tupatiwe evidences kama zile za EPA, etc. Thanks. Karibu Mzee FMES.