Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

- Maneno mazito sana haya mkuu, by the way for the record Mengi amewahi kuwamaliza viongozi wangapi in the past, just to be safe na the history maana si unajua hapa ni where we dare.

Thanxs!

Mengi as an individual hamalizi viongozi au mtu. And you know that. He has machineries!!!!! Kuna la zaidi hapo!!!! Hata vyombo vyake vya habari pamoja na vya watu wengine viliripoti EPA na mambo mengine na matunda tumeyaona japo hatujapata end points. Mimi nasubiri tu vijana wetu hapa walituletee evidence tuzichambue, sina evidence na masuala ya National IDs ndo maana niliomba katika post yangu ya awali tupatiwe evidences kama zile za EPA, etc. Thanks. Karibu Mzee FMES.
 

Jana niliposoma thread ya kuandikisha Line za Simu, Najua ipo siku kuna mpuuzi mmoja tena kiongozi atakurupuka na kuuliza kama kuna uwezekano wa wana JF tuweke Majina yetu halisi... Ipo siku

Na baada ya hapo???...
 
Salaam wakuu wote,

Mara yangu ya kwanza kuchangia JF japo nimekuwa msomaji mzuri kwa miezi kadhaa sasa. Sikuchangia kwa sababu tofauti nyingi. Nawapongeza sana wachangiaji seriously wote.

Tatizo la nchi yetu kubwa ni watu wake hasa VIONGOZI wetu. Kiongozi zuzu au dubwanya hawezi kuwa na team nzuri. JK ni zuzu tu na kasababisha timu yake karibu yote kuwa zuzu na madubwanya. Naamini mtu kama Pinda, Makufuli, Kawambwa angefanya kazi na kiongozi SERIOUS asiyezuzu, angefanya kazi nzuri sana. Lakini kamkuta mkuu haeleweki, zuzu tupu! Unategemea nini?

Lakini walau team member asiyependa kuambukizwa uzuzu, bora ajiuzuru mapema au astruggle kumfanya zuzu namba wani abadilike. Lakini zuzu letu hili haliwezekani kubadilika HATA KIDOGO! Haliwezi kuwa kiongozi mzuri.

Kwa upande mwingine, watu wetu wengi (voters) just vote without making choice. Public officials highly mismanage our country and we stand aside just talking and see. Lazima kuchukua hatua za vitendo kama maandamano kupinga maamuzi ya kijinga yanayofanywa na viongozi madubwanya! Bila watu wetu kuonyesha kwa VITENDO wanataka watawaliwe vipi, hakika tutaburuzwa na kuibiwa mpaka mwisho wa nyakati. Na hii ni zambi tunayowatendea vizazi vijavyo.

NITAMPATIA KURA YANGU KICHAA YEYOTE 2010 SIO CCM. NA NITAPIGA KURA labda nisiwe hai. Wanapaswa kupigwa chini wajifunze.
 
Baada ya Manji, sasa attention imehamia kwa Masha!
Kweli hivi vitakuwa vyombo vya habari? Ukigombana na mmiliki, wewe ndio unatengeneza habari!

Sipendi kutumia neno ujinga lakini kama ingekuwa anayesema maneno haya hajui kusoma na kuandika ningeweza kutumia maneno hayo lakini ukweli ni kwamba kuna juhudi za makusudi za kuthubutu kugeuza hoja nzito kuwa "ugomvi binafsi" na hiyo imekuwa ikitumika kama kinga na wahalifu wengi hapa nchini na kwa kweli wamefanikiwa sana kujilinda na kuokoka katika mikono ya dola na hata katika vyombo vingi vya habari.

Manji amefanikiwa kwa mtindo huu kwa kila uovu wake, anepenyeza rupia katika vyombo vya habari na kwa kuwa hawezi kupenyeza Thisday na KULIKONI wataandika na watu watasema, "si unaona, huo ni ugomvi wa Mengi na Manji".

Iko mifano mingi na hat hivi karibuni, Masha alitumia watu fulani kusema, matatizo yaliyotokea ni ugomvi wa wachaga dhidi ya Wasukuma, akatokea mtu akasema hata Masha mwenyewe si msukuma na miongoni mwa wanaoshangilia kuanguka kwake ni Wasukuma.

Wakati wa Mkapa magazeti ya RAI na Mtanzania na kipindi cha Jenerali On Monday kulikuwa na taarifa nyingi za kuikosoa serikali, baadhi zikiwa zinatoka hata bila ya Jenerali Ulimwengu kujua zinatoka wapi, lakini watu akiwamo mkapa na wafuasi wake wakawa wanasema ni "ugomvi wa Jenerali na Mkapa". HUU NI UJINGA AMA UPOTOSHAJI HATARI SANA.

Ni lazima tujadili HOJA kwa HOJA kwa kuangalia FACTS zilizopo. Ni UJINGA usio mfano kwa mfano Juma akigombana na Joni halafu Juma akiona Joni anaiba akawaita polisi, polisi waseme, "aaha Juma ana ugomvi na Joni".... huyo atakuwa polisi asiyejua kazi zake. Katika mafunzo ya upelelezi, moja ya watu muhimu wanaotoa taarifa za kweli za uhalifu ni watu wanaogombana kwa kuwa atatoa taarifa zote akijua mbaya wake atashughulikiwa.

Hizi hoja za kusema yaliyotokea kuhusu Masha yana uhusiano na ugomvi na Mengi, ama kama alivyoanza rafiki yangu Paparazimuwazi kwamba "Mengi amempata Masha" si sahihi kabisa tunapotoka na tutajikuta anaibuka Mramba anasema, "Hosea na Feleshi ni Wasukuma wana chuki na Wachaga na Wapare na sasa wanamuacha msukuma mwenzao Chenge"

Hapa Masha kaingilia zabuni na yeye mwenyewe anakiri kwamba hana mamlaka ya kuingilia lakini analazimika kutetea "maslahi ya umma". MAsha anaitetea kampuni ambayo imeenguliwa. Walioshiriki zabuni hiyo wote wanasema hawajajulishwa kampuni zilizoenguliwa na hivyo kushangaa kampuni anayoitetea Masha ilijuaje kwamba wameenguliwa kama si yeye aliyewaibia siri ya zabuni?

Kama alivyosema Dk. Slaa, taratibu za zabuni kwa sheria ya manunuzi zinaelekeza taratibu za kampuni kufuata isiporidhika na matokeo na Waziri hatajwi katika taratibu hizo, KUNA NINI hata Masha aingilie tena akiwa mwanasheria aliyebobea na ambaye miaka ya nyuma aliitetea kampuni nyingine iliyoishitaki serikali baada ya kuenguliwa katika zabuni ya vitambulisho na leo ni Masha huyo ambaye yuko Wizarani akiwa upande wa serikali.
 
Kuna mtu yeyote anayejua makampuni nane yaliyokuwa-shortlisted kwenye hii tenda? Pse tudondoshee hapa.
 
Serikali ya Kikwete vurugu tupu!

National IDs project tender process:
Minister locks horns with Chief Secretary

-Premier Pinda asked to intervene

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam​

HOME Affairs Minister Lawrence Masha is reported to have clashed head-on with State House Chief Secretary Philemon Luhanjo over the ongoing tender process for the $152m (approx. 200bn/-) national identity cards project.

And well-placed sources confirm that the minister has officially brought the matter to the attention of the Prime Minister, Mizengo Pinda, and other top government leaders.

It is understood that the home affairs ministerial tender board had initially sought to float a restricted tender, but the government ordered the tender process to be made public to avoid loopholes for corruption and other wrongdoings.

According to the sources, Masha made a formal complaint to Pinda that Luhanjo instructed the permanent secretary in the home affairs ministry to submit a report to the ministerial cabinet on the implementation of the tender process without informing him (Masha) as minister.

An informed source told THISDAY: ''The minister believes that the chief secretary should have involved him in the matter out of courtesy, instead of just communicating with the permanent secretary.''

''Sometime in December last year, he (the minister) decided to officially notify the prime minister that he was not satisfied with the way the tender process was being handled.''

''The minister told the prime minister that he was compelled to complain about the tender process out of political responsibility, although he acknowledged having no legal authority to intervene in the matter.''

The chief secretary, who operates from State House, is secretary to the Cabinet and responsible for ensuring that all important government decisions are implemented.

However, it now transpires that Masha was apparently not amused by CS Luhanjo's decision to instruct the Home Affairs PS to report straight to the Cabinet about the tender process.

It is understood that the minister's argument was that he would be the one forced to shoulder political responsibility should anything go wrong within the ministry.

The sources say Masha also told Premier Pinda that he had received complaints from one of the bidders for the lucrative national IDs tender, SAGEM SECURITE of France, and subsequently summoned the Home Affairs PS to Dodoma last November for discussions on the matter.

According to the sources: ''Apparently, he (Masha) was not happy with the way the preliminary evaluation of the tender was conducted, after some of the bidders were uplifted and given conditional pre-qualification, while others with similar qualifications were left out.''

The sources further hinted that the minister told Pinda of a spreading 'notion' that he (Masha) was personally favouring the French company to be awarded the tender, because he had decided to act on the company's complaints after it was not short-listed.

A total of 54 companies initially tabled bids for the tender to supply a national identification, system-based, Smartcard technology, and a special government evaluation committee then picked 21 of the bidders for the pre-qualification stage.

Out of these, 16 bidders were found to be 'substantially responsive', while five bidders were given 'conditional pre-qualification.' The tender board later came up with a shortlist of eight companies, excluding SAGEM SECURITE, out of those recommended by the evaluation committee.

According to officials close to the national IDs project tender process, minister Masha apparently feels that a number of mistakes were made by the evaluation committee, and that all 21 initial bids (including SAGEM SECURITE) should be evaluated by the tender board.

The multi-billion shilling project is understood to have attracted the interest of quite a number of local politicians-cum-businessmen, said to be eagerly waiting to pounce on the deal.

Sources say there has been remarkable behind-the-scenes lobbying by some of the bidding companies to land the contract.
 
- Mkuu wangu Maane si unaona sasa, nimekuuliza swali umejibu something else, numekuomba record ya Mengi kumaliza viongozi kama ulivyoanza mwenyewe, sasa tizama ulivyonijibu hal;afu sasa hivi utasema ninakutisha kumbe huwezi kuweka ukweli wa hyabari zako tu, sasa naomba tena kukuuliza unao ukweli wa viongozi waliowahi kumalizwa na Mengi kama ulivyodai mwenyewe kama huna kubali tuendelee na kuakta ishus.

Thanxs!
 
Bubu,

Kuna topic nyingine kama hii nadhani. Mods mnaweza kuunganisha hizi pliz?
 
Inaezekana Mengi akawa hana kosa ila Mie Personally simpendi Mengi.Hivyo ndivyo nilivyo
 
.................Hapa Masha kaingilia zabuni na yeye mwenyewe anakiri kwamba hana mamlaka ya kuingilia lakini analazimika kutetea "maslahi ya umma". MAsha anaitetea kampuni ambayo imeenguliwa. Walioshiriki zabuni hiyo wote wanasema hawajajulishwa kampuni zilizoenguliwa na hivyo kushangaa kampuni anayoitetea Masha ilijuaje kwamba wameenguliwa kama si yeye aliyewaibia siri ya zabuni?

Kama alivyosema Dk. Slaa, taratibu za zabuni kwa sheria ya manunuzi zinaelekeza taratibu za kampuni kufuata isiporidhika na matokeo na Waziri hatajwi katika taratibu hizo, KUNA NINI hata Masha aingilie tena akiwa mwanasheria aliyebobea na ambaye miaka ya nyuma aliitetea kampuni nyingine iliyoishitaki serikali baada ya kuenguliwa katika zabuni ya vitambulisho na leo ni Masha huyo ambaye yuko Wizarani akiwa upande wa serikali.

........Mkuu Halisi.......shukrani kwa briefing yako nzuri.......

Kama ni kweli Masha aliingilia na kutoa Taarifa za zabuni.......

1. Masha has to GO..........style ya viongozi kama hawa ndio wanaotutia hasara kila kukicha........
 
Thats the point - ain't nobody know nothing of the 8 companies manake hayajatangazwa!

Makampuni mbona yanafahamika tu ila kila kampuni ina kigogo nyuma yake.....Sina uhakika kama Masha alishawahi kuhusika na hili dili,sikuwahi kusikia kabisa na hata kama ikiwa ni kwa usiri Mkubwa sana!

To mention but a few
1. Former home affairs Minister..huyu hata passport mpya alipiga dili
2. Waziri wa zamani wa maji
3. ...................
 
Last edited:
Masha anasikitisha na aibu kwa vijana. Masha kijana mwenye elimu nzuri angetakiwa kuonyesha umahiri wake kikazi badala ya kutafuta umashuhuri kwa wanawake na mapepe!!! kwa vijana wote tunaoishi ugaibuni Masha ni aibu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom