Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Kuna taarifa kwamba mawaziri watatu wa JK wakiwamo wawili vijana wanakalia kuti kavu kutokana na maamuzi na utendaji wao kuyumba na JK ameshauriwa kuwawahi kabla hawajamuabisha kama ilivyotokea kwa akina Chenge.

Kwa sasa bado ni tetesi itakapokuwa na nyama iliyoiva walau kidogo tutawapakulia mujichane na kama kawaida JF itakuwa ya kwanza
 
Last edited by a moderator:
Mhhh bila shaka Lau Masha safari imeanza maana hata jimboni kwake wapiga kura wake hawana imani naye. Tuna subiria hapa Halisi, thanks
 
Mhhh bila shaka Lau Masha safari imeanza maana hata jimboni kwake wapiga kura wake hawana imani naye. Tuna subiria hapa Halisi, thanks

Mkuu Ushirombo heshima mbele.
Nakubaliana na wewe Masha kazi imemshinda vipi waziri wetu wa Nishati na madini ?Nadhani naye anastahili kwenda na maji.
 
kama mkweli JK amuondoe Shamsha Mwangunga, lakini sidhani kama atamgusa maana ana 'mikoba' yake ya kuelekea 2010...... tusubiri tuone maana Masha na Ngeleja wote ni wasukuma (japo masha si msukuma ila anatoka Mwanza) kwa hiyo hao hawezi kuwaondoa wote ila nadhani atapata wakati mgumu kuendelea kuwa nao wote hasa kwa kuwa wanatumikia mabwana wawili.
 
Kwa kweli aanze na kijana mwanasheria wetu anayetumikia ofisi mbili za IMMA na ile ya JK, si mwingine Lauwrence M. Jana nimewmona akizungumza kwenye media amechoka ile mbaya. Halafu sijui ni chain smoker, meno mdomo vyote vinaashiria, sikuona tu vidole vya kukamatia fegi. Hivi Nchimbi yuko wapi??? naye atoke huyo. Mahanga vipi?? Naye kimya sasa. Mi naona wote hawafai, si watatu tu. Bado mpaka sasa hivi hajaweza kuchagua firm and dedicated cabinet!!!! Sijui atafute consultant aje amtengenezee cabinet au vipi wajameni??? Kila wakati yeye kazi kubadilisha tu, sielewi kama anajua madhara ya kubadili watendaji kila wakati????!!! Msaidieni mliopo huko kama washauri, Dr. Mpango na Mwinyimvua you are needed here to serve the sinking ship. Tangu alipowachagua hawa wachumi wawili nilitegemea kungekuwa na mabadiliko lakini wapi, si kiuchumi, kijamii wala kisiasa. Inatisha. Kila mtu na imani yake ya kuabudu iteni Miungu wenue wainusuru hii nchi.
 
Kwa kweli aanze na kijana mwanasheria wetu anayetumikia ofisi mbili za IMMA na ile ya JK, si mwingine Lauwrence M. Jana nimewmona akizungumza kwenye media amechoka ile mbaya. Halafu sijui ni chain smoker, meno mdomo vyote vinaashiria, sikuona tu vidole vya kukamatia fegi. .

Kweli Hapa JF we dare talk openly... Hata kama ni off point au pumba! Vidole, meno na meno ndio vinampa mtu merits za kuwa kiongozi bora? La Haula Wa Laku'wata!!

Lets focus on qualitites, kama anazo au hana
 
Waheshimiwa kama huwa wanaingia JF, matumbo joto sasa.... Ila kuna pia uteuzi wa Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, manake Balozi Mombo kastaafu.
 
Kuna taarifa kwamba mawaziri watatu wa JK wakiwamo wawili vijana wanakalia kuti kavu kutokana na maamuzi na utendaji wao kuyumba na JK ameshauriwa kuwawahi kabla hawajamuabisha kama ilivyotokea kwa akina Chenge.

Kwa sasa bado ni tetesi itakapokuwa na nyama iliyoiva walau kidogo tutawapakulia mujichane na kama kawaida JF itakuwa ya kwanza

halisi unaturusha roho bila dawa ya maumivu... kwa kuwa ni tetesi unaweza kutudokeza tu ni akina nai hao halafu waungwana watajazia nyama hapahapa
 
Wakuu,

Nifahamisheni Ngeleja ana matatizo gani? Najua Masha kweli kazi imemshinda lakini Ngeleja mbona kama anajitahidi japo wizara yenyewe imejaa mizengwe.

Inatakiwa waziri apewe madaraka yote ya kuja na vision mpya juu ya energy. Huo umeme wa mafuta na maji pekee hautatutosha huko tunakoenda na itakuwa gharama kubwa.

Kuna haja ya kuwa na miradi midogo midogo ya umeme ya kiwilaya badala ya miradi mikubwa mikubwa ambayo kukiwa na tatizo nchi nzima inatikisika.
 
Kweli Hapa JF we dare talk openly... Hata kama ni off point au pumba! Vidole, meno na meno ndio vinampa mtu merits za kuwa kiongozi bora? La Haula Wa Laku'wata!!

Lets focus on qualitites, kama anazo au hana

Hana qualities. Ni wazi tangu awe kwenye serikali ya awamu ya nne. At least Ngeleja anajitahidi na atabaki. Je ulisikia comment or statements za Masha akizungumzia mauaji ya albino??? Huo ni mfano tu, yapo mengi. Wizara ile haiwezi. Kusoma sheria si hoja ya utendaji wake katika wizara nyeti kama ile. Pengine wambadilishe apewe nyingine. Tusubiri tuone. Haya yote ni matokeo ya uongozi wa uswahiba.
 
Ngeleja na yeye ngoma nzito anatuhuma za kuvuta m 100, tatizo JK aliamini sana vijana na ndio wanamwangusha maana uzoefu ni mdogo kwa mfano mtizamo wangu ni kwamba kagasheki angepewa wizara na masha angekuwa naibu....
 
kama mkweli JK amuondoe Shamsha Mwangunga, lakini sidhani kama atamgusa maana ana 'mikoba' yake ya kuelekea 2010...... tusubiri tuone maana Masha na Ngeleja wote ni wasukuma (japo masha si msukuma ila anatoka Mwanza) kwa hiyo hao hawezi kuwaondoa wote ila nadhani atapata wakati mgumu kuendelea kuwa nao wote hasa kwa kuwa wanatumikia mabwana wawili.
Kiranja wewe una maneno.....
 
Hana qualities. Ni wazi tangu awe kwenye serikali ya awamu ya nne. At least Ngeleja anajitahidi na atabaki. Je ulisikia comment or statements za Masha akizungumzia mauaji ya albino??? Huo ni mfano tu, yapo mengi. Wizara ile haiwezi. Kusoma sheria si hoja ya utendaji wake katika wizara nyeti kama ile. Pengine wambadilishe apewe nyingine. Tusubiri tuone. Haya yote ni matokeo ya uongozi wa uswahiba.

Sasa Hapo Maane ndio umegonga penyewe;

Lets analyse qualities za huyu ndugu yetu na kama anaweza given mazingira ya kazi yaliyomzunguka. simtetei lakini najua kufanya kazi serikalini ni kasheshe hasa kama uko very ambitious

Maybe he'd better stay a lawyer and maintain his reputation... naona kama siasa inamliza badala ya kumjenga

Ni mawazo tu,
 
Samu pipo, bwana! Hivi Masha ana tatizo gani? A few mis-statements and a smoker ndio nongwa? George Bush alikuwa na statement tata ngapi, na alikuwa mlevi na wife beater yet he ruled the "world" for 8 years!!

Wakiwekwa watu wenye experience na mambo haya ni sisi walewale tunakua na kusema eti tangu tunasoma tunawaona walewale tuuuu weeeee na sas basi tumewachoka!

You could deal with this or you could deal with that but either way waTZ tumezoea kulalamika pasipo sababu.

Besides, I think the reshuffle is going to be very close to JK but not to include none of the cabinet........watch and listen.
 
Gelange Vidunda, heshima kwako.

Bush sidhani kuwa anahitaji sifa yoyote. Kuongoza kwa miaka 8 bila mafanikio, nadhani ni madhara makubwa sana. Ila hiyo sio hoja. Nakubaliana na wewe katika lawama za watu wengi kila mara sura zinapojirudia. Ila pia tumeona sura mpya zikifanya kazi vizuri tu. Kwa mfano Kagasheki, Kawambwa, na kadhalika. Kinachotakiwa sio umri wa mtu, bali ni uwezo wake kufanya mambo yenye manufaa. Awe mpya au wa zamani.
 
Samu pipo, bwana! Hivi Masha ana tatizo gani? A few mis-statements and a smoker ndio nongwa? George Bush alikuwa na statement tata ngapi, na alikuwa mlevi na wife beater yet he ruled the "world" for 8 years!!

Wakiwekwa watu wenye experience na mambo haya ni sisi walewale tunakua na kusema eti tangu tunasoma tunawaona walewale tuuuu weeeee na sas basi tumewachoka!

You could deal with this or you could deal with that but either way waTZ tumezoea kulalamika pasipo sababu.

Besides, I think the reshuffle is going to be very close to JK but not to include none of the cabinet........watch and listen.

....wizara imemshinda huyo,police ni rushwa tupu,albino wanakufa bila msaada huku yeye akitapika waliokufa ni wachache,nashangaa na kusoma kwake Georgetown lakini wizara anayoiongoza bado wanatumia files zilizojaa vumbi,hata office za Wizara yake ni chafu ile mbaya na parking yao iliyojaa matope,na ujanja wake wote angalia zile licence wanazotupa police wake za miaka 100 iliyopita,kero ya passport ndio usiseme...sijui anafanya nini pale?
 
Ngeleja na yeye ngoma nzito anatuhuma za kuvuta m 100, tatizo JK aliamini sana vijana na ndio wanamwangusha maana uzoefu ni mdogo kwa mfano mtizamo wangu ni kwamba kagasheki angepewa wizara na masha angekuwa naibu....

Duuh!!! Kama kweli inatisha! Kijana amevuta fungu kwa kujitayarisha na uchaguzi wa mwaka 2010, au?
 
Tatizo la uongozi Tanzania haliko kwenye umri, elimu, sura, au kuvuta sigara. Liko kwenye uwezo.

Una maana kati ya watu milioni 40 hakuna angalau watu 4,000 wenye uwezo wa kuongoza? Au wapo lakini hawapati nafasi? Na kama hawapati nafasi ni kwa nini hawapati nafasi?
 
Back
Top Bottom